The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Hawa maCCM akili hawanaShida yote hiyo waonekane tu wamejaza halaiki, huku mpinzani wa kweli na chama chake wakifanyiwa zengwe la kutoshiriki huo uchaguzi!
Ewaaa, watu wakionekana wengi mkutanoni then tutaaminishwa Sa100 anapendwa sana hakuna mwingine zaidi yake!!!.Shida yote hiyo waonekane tu wamejaza halaiki, huku mpinzani wa kweli na chama chake wakifanyiwa zengwe la kutoshiriki huo uchaguzi!
Binafsi sioni haja ya huo uchafuzi. Kwanini Ccm wasianze kugawana tu majimbo kuwa Jimbo hili flani na diwani ni flani. Mchezo kwisha. Kuliko kufanya kampeni zisizo na umuhimu wakati wako wenyeweShida yote hiyo waonekane tu wamejaza halaiki, huku mpinzani wa kweli na chama chake wakifanyiwa zengwe la kutoshiriki huo uchaguzi!
Nimeota ndoto ikiwa CHADEMA wataingia kwenye uchaguzi ccm itashinda kwa asilimia 3.. True storyGT
Asikwambie mtu. Hakuna mda CCM wanateseka kama kipindi hiki unajua kumshawishi mtu ahudhurie mkutano ambao hana shida nao ni kazi ngumu sana.
Yaani kumpa.hela tu huyo mtu peke.yake haitoshi maana anaweza kula hela na akaingia chocho ha ha 😂 😄 Sasa inabidi uwakusanye watu kama mbuzi wasitoroke na uwaandalle usafiri kwenda na kurudi hatari sana.
Sasa hivi viongozi wa mtaa wanapita nyumba hadi nyumba kuan̈dikisha upya watu na namba zao za simu yaani ni tabu tupu. Wanatembea hao kama vichaaa 😆 🤣 😄 .
Na Samia akishapita sehemu hawezirudi maana kuwapata watu kama hao ni mtihani kiufupi akipita sehemu kamaliza kabisa kwa Nchimbi hatupewi coverage kubwa maana watu ni wachache sana
Safi saba watanzaniakwa Nchimbi hatupewi coverage kubwa maana watu ni wachache sana
GT
Asikwambie mtu. Hakuna mda CCM wanateseka kama kipindi hiki unajua kumshawishi mtu ahudhurie mkutano ambao hana shida nao ni kazi ngumu sana.
Yaani kumpa.hela tu huyo mtu peke.yake haitoshi maana anaweza kula hela na akaingia chocho ha ha 😂 😄 Sasa inabidi uwakusanye watu kama mbuzi wasitoroke na uwaandalle usafiri kwenda na kurudi hatari sana.
Sasa hivi viongozi wa mtaa wanapita nyumba hadi nyumba kuan̈dikisha upya watu na namba zao za simu yaani ni tabu tupu. Wanatembea hao kama vichaaa 😆 🤣 😄 .
Na Samia akishapita sehemu hawezirudi maana kuwapata watu kama hao ni mtihani kiufupi akipita sehemu kamaliza kabisa kwa Nchimbi hatupewi coverage kubwa maana watu ni wachache sana
Namtafuta mpina nimepeShida yote hiyo waonekane tu wamejaza halaiki, huku mpinzani wa kweli na chama chake wakifanyiwa zengwe la kutoshiriki huo uchaguzi!
Watu wa kwanza kulazimishwa kwenda mikutanoni ni wanafunzii na wafanyakazi wa serikali.Na huko wanajaza vitoto under 18 kwa wingi kwelikweli.
Kuna tawi lao nimekuta vitoto na watu wa vigoma wanasubiri gari ije kuwasomba.
Vijana mtaani hawana muda kabisa na hizo mambo za uchaguzi, ni kama hamna kinachoendelea.
Subiri baada ya uchaguzi, wakishika tena nchi ndipo utajua nani atateseka CCM au wewe hapo keyboard warrior.GT