stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 40,702 Reaction score 41,213 Sep 15, 2025 #41 Kalamu said: Ukweli ni kwamba akili yako imeathirika kwa hizi kazi za kuwafanyia maovu waTanzania mnazotumwa kuzitekeleza kuwanufaisha Samia na Genge lake. Huwa sijibu kwa "kukurupuka". Click to expand... huoni kama umekurupuka swali linauliza vingine unajibu kingiine
Kalamu said: Ukweli ni kwamba akili yako imeathirika kwa hizi kazi za kuwafanyia maovu waTanzania mnazotumwa kuzitekeleza kuwanufaisha Samia na Genge lake. Huwa sijibu kwa "kukurupuka". Click to expand... huoni kama umekurupuka swali linauliza vingine unajibu kingiine
M Muhimbu JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 4,001 Reaction score 7,587 Sep 15, 2025 #42 The lariat said: Kwenye majukwaa wanatamani wawaseme Chadema maana hawawezi wakawabeza UMD au ACT au TLP. Click to expand... Hahaha.. hilo nililiwaza sana kabla ya kampeni, kwamba watakuwa wanarusha madongo kwa nani kama Chadema hawashiriki uchaguzi!?
The lariat said: Kwenye majukwaa wanatamani wawaseme Chadema maana hawawezi wakawabeza UMD au ACT au TLP. Click to expand... Hahaha.. hilo nililiwaza sana kabla ya kampeni, kwamba watakuwa wanarusha madongo kwa nani kama Chadema hawashiriki uchaguzi!?
K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 22,898 Reaction score 33,309 Sep 15, 2025 #43 stakehigh said: huoni kama umekurupuka swali linauliza vingine unajibu kingiine Click to expand... Wewe siyo mtu wa kujuwa hayo, kwa sababu akili yako imeharibika tayari kutokana na maovu unayowafanyia waTanzania. Ni kipi hapa usicho kielewa?
stakehigh said: huoni kama umekurupuka swali linauliza vingine unajibu kingiine Click to expand... Wewe siyo mtu wa kujuwa hayo, kwa sababu akili yako imeharibika tayari kutokana na maovu unayowafanyia waTanzania. Ni kipi hapa usicho kielewa?