Nguvu ya JamiiAfrica ni usiri, kama utaondolewa utapunguza ufanisi wake

😹😹😹 Ila nuz unanichekeshaga unavyowachukia member, kwani hujawablock??
Huyo Tlalah nimemblock ila nashangaa anapenda sana kuja kwenye nyuzi zangu.
Ukikutana nae mwambie Nuu hakupendi
 
Nyiee ndo naangalia hapo leo na kujua kuwa inaitwa Jamii Africa mwee
 
Kama usiri haujalindwa utajuaje?

Na kitendo Cha Melo kuwa karibu na viongozi wa serikali, unaamini Kuna usiri..

ilitakiwa hata mmiliki asiwe na uwezo wa kujua utambulisho wako.

Yaani hata yeye asijulikane..
Kitendo Cha yeye kujulikana ni rahisi sana wew kupatikana!

Ataombwa atoe ushirikiano tu.

Kiujumla tuwe na staha kweny Lugha zetu na tusiwe na matusi.

Kweny ukweli tuongee hata Kama unauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…