Nguvu ya kanisa katoliki, Kesho ijumaa kuu. Butcher zitafungwa

Sijajua ulipo ila huku dasalama aseeh watu hawajui unayosema maake hakuna wakatoliki tuu sawa mzee
Dar sehemu gani utapata nyama kesho?
Vingunguti machinjio kesho wanafunga
Jiandae kula mbegu au nafaka
 
Hivi kwa nini mungu aliumba dunia yenye viumbe ambao wanauana ili wapate chakula?

Dunia ni kiwanda cha mauti.

Binadamu anaua wanyama ili apate chakula.

Wanyama nao baadhi yao wanawaua wanyama wa aina nyingine ili wapate chakula.

Wakati mwingine hata binadamu nao huliwa kama chakula na wanyama wengine.

Hakika ukitumia akili kumfikiria huyo mungu utaishia kushawishika kivingine kabisa.
 
Another fake news from a desperate and deluded pinheaded twatt
 
Sasa wewe utafaidika na Nini Mimi nikila maharage kesho?
 
Mungu aliumba vyote siku ya 6 ambayo siku ya mwisho akamuumba binadamu akampa ruksa ya kuwapa majina na kuvitawalabatakavyo viumbe vyote

Wanyama kula wengine huo ndo muujiza na utukufu wa Mungu

Ndo sababu sisi wanadamu wenye akili timamu tunamwabudu Mungu
 
Labda butcher za mbuzi katoliki.
 
BAADA YA HAYA YOTE,UNAPATA FAIDA GANI?
 
Si kweli. Nyama zitanunulika zitapikwa jmos pia. Wasabato,walokole hawaamini ya wakatoliki hivyo watakula
 
TUMSIFU YESU KRISTO 🙏
Katika Maisha yetu wengi nyama ni ANASA!
Wengi Hatuelewi MAANA/MAUDHUI ya Kutokula nyama IJUMAA KUU!
Mimi ANASA yangu ni kucheza Mziki, Mwingine kupata Kileo, mwingine Pilau, chips...na Mambo kama hayo!
Hivyo PENYE MSIBA NA UCHUNGU MKUU NI NADRA SANA KUSHIRIKI MAPENZI YAKO BINAFI Ila UNAJIZUIA!
NDIO MAANA YA KUTOKULA NYAMA!
TUMSIFU YESU KRISTO 🙏🤝
 
Bullshit.

Hakuna utukufu wowote kwa wanyama kukulana wao kwa wao.

Wewe ukiliwa na mamba itakuwa ni utukufu wa mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…