Sijui tunahitaji mafunzo mangapi ya aina hii ili tuamke..
Inawezekana "tulishakufa" siku nyingi lakini sisi tunajiona bado tupo hai, kama tunashindwa kujifunza kwa majirani zetu hapo Kenya, hivi inawezekana kweli tukaenda kujifunza Senegal?

Duuh! Yawezekana mafunzo ya polisi na jeshi hapa Tanzania ni tofauti na nchi zingine. Hapa kwetu majeshi yetu yanaua raia ktk mikusanyiko kama hiyo. Mnakumbuka Arusha (Olasiti), Kinondoni na Iringa??
Mimi nina wasiwasi sana ule Mwenge wanakimbiza nchi nzima. Ule ndiyo utakuwa uchawi wa kutupumbaza. Haiwezekani watu wazima wanatumia mabilioni ya pesa kukimbiza moto nchi nzima.
Tuwe na subira jamani huyu mama ameonyesha utayari wa katiba mpya tofauti na yule mzilankende aliyesema sio kipaumbele chake.Hata Ndumbaro ambaye ni waziri wa sheria ameanza kuimba tone ya mama
Watanzania wanayo imani kubwa Sana na serikali ya CCM katika kuwaongoza na kuwatumikia, wanaelewa na kutambua dhamira njema iliyo nayo serikali ya CCM katika kuwahudumia, ndio sababu ya Kuendelea kuwa watulivu ni wenye Imani kubwa kwa serikali ya ccm maana wanatambua usikivu wa serikali yao pamoja na uzalendo wa viongozi wao wa CCM
Watanzania wanayo imani kubwa Sana na serikali ya CCM katika kuwaongoza na kuwatumikia, wanaelewa na kutambua dhamira njema iliyo nayo serikali ya CCM katika kuwahudumia, ndio sababu ya Kuendelea kuwa watulivu ni wenye Imani kubwa kwa serikali ya ccm maana wanatambua usikivu wa serikali yao pamoja na uzalendo wa viongozi wao wa CCM
Sijui tunahitaji mafunzo mangapi ya aina hii ili tuamke..
Inawezekana "tulishakufa" siku nyingi lakini sisi tunajiona bado tupo hai, kama tunashindwa kujifunza kwa majirani zetu hapo Kenya, hivi inawezekana kweli tukaenda kujifunza Senegal?
Tuwe na subira jamani huyu mama ameonyesha utayari wa katiba mpya tofauti na yule mzilankende aliyesema sio kipaumbele chake.Hata Ndumbaro ambaye ni waziri wa sheria ameanza kuimba tone ya mama
Mimi Nina mchango kuliko kelele zako zisizo na msingi..
Nimekupa mfano hapo kwamba kumuandamania mwanasiasa ni upuuzi, Ufaransa watu Huwa wanaandamana Serikali ilipitisha au kutaka kupitisha Sheria za hovyo nk.