This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Kenyatta ktk Ile miaka baada ya uhuru alimwambia Nyerere , Mimi Kenya naongoza wagonjwa mahtuti lkn wewe kule kwako Tz unaongoza Marehemu.Sijui tunahitaji mafunzo mangapi ya aina hii ili tuamke..
Inawezekana "tulishakufa" siku nyingi lakini sisi tunajiona bado tupo hai, kama tunashindwa kujifunza kwa majirani zetu hapo Kenya, hivi inawezekana kweli tukaenda kujifunza Senegal?
Naona hili letu ni taifa teule la wanakondoo.
Mkuu yale maandamano kwangu ni kigezo tosha cha mambo ya kufanya na kuyatarajia.Ninachelea kumnyooshea kidole Maalim Seif kama navyochelea kuwanyooshea Malema au Raila katika walio hai. Kwa maana nyingine hao wamefanya mengi kuliko labda yote tutakayoweza kuyafanya sisi katika maisha yetu yote.
Kwangu miye kina Mandela, Tutu, Mtikila na kina Nyerere wanaangukia kwenye daraja hilo.
Nipende kumwalika mjumbe kutoka zenji bar kwa mwongozo wake kumhusu Maalim na wasifu wake. Mjumbe huyu labda walikuwa naye katika harakati zao za mapambano.
Zawadini ikikupendekeza tafadhali, kwa maana ya nini kuandikia mate?
Mkuu yale maandamano kwangu ni kigezo tosha cha mambo ya kufanya na kuyatarajia.
Kwanza: Yalifanyika baada ya lawama nyingi kwamba uongozi ulikuwa hautendi kulingana na matakwa ya umma.
Pili: Yalipofanyika matokeo yakaonekana kwamba katika mambo kama yale pande zote zinaathirika kwani askari na raia wote walionja joto ya jiwe ingawa raia waliumia zaidi; ila ndio mambo. Utarajie nini kwa raia asiye na silaha?
Tatu: yalipofanyika, nadhani umma ulielewa ni kwanini voingozi walikuwa wanasita kuwaambia waingie barabarani.
Nne: Baada ya hayo nadhani sasa kutakuwa na maandalizi ya kutosha ili umma ujitayarishe.
Z
Nguvu ya umma Tanzania mnataka watu tutolewe viuno?
Naona Polisi wameapa kulinda na kukitetea chama cha mwenge...