Nguvu ya Waislam kupigania haki iliuliwa na Nyerere

Acha kutukana waislamu Mkuu.
Inamaana hizo sifa zote ulizowapa Waislamu alafu waje washindwe na mtu mmoja aitwaye Nyerere, Kweli?

Kwamba Nyerere alikuwa na miguvu kuwashinda Waislamu wote wa Tanganyika na Zanzibar?
Magufuli mmoja aliweza vipi kufanya yale katika kundi la watu wengi Tanzania ?
 
Nyerere alipenda na alitaka kutawala watu wanyonge hivyo alilazimika kufanya Waislam wa Tanganyika kuwa wanyonge hivyo akaunda organization ya kinyonge ya Waislam"BAKWATA"
Waarabu pamoja na jumuiya zao zote wanatawaliwa na wazungu, Nyerere sio wa kulaumiwa wajilaumu wao kwanza kwenye Elimu na mizizi yao nchi za kiarabu
 
Nyerere amefariki zaidi ya miaka 20 iliyopita. Kabla hajafa alikuwa sio Rais toka 1985.
Kama mko serious ivunjeni BAKWATA sasa. Rais aliyeko madarakani na maraisi wastaafu wawili wote ni waislam, nani anazuia kuvunjwa kwa BAKWATA?
Aidha muivunje sasa au mkubali tu kuwa madai yenu ya kuhujumiwa na Nyerere ni uzushi tu.
Hata chuo kikuu mpaka leo wana kimoja tena cha kupewa na Mkapa mkristu
 
Waarabu pamoja na jumuiya zao zote wanatawaliwa na wazungu, Nyerere sio wa kulaumiwa wajilaumu wao kwanza kwenye Elimu na mizizi yao nchi za kiarabu
Waarabu wanamchango mkubwa katika elimu ya hisabati na madawa duniani jifunze hata hao wazungu elimu kubwa wameipatia kwa hao hao waarabu unao wadharau
 
Ukisoma kuhusu historia ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika toka mwanzo unaweza kuona mchango wa waislam wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Hii ni toka vita vya maji maji hadi wakati wa mapambano ya TAA.

Waislam wa Tanganyika wamechangia kwa asilimia kubwa sana kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika.

Kwa tabia za waislam kote duniani ni kwamba waislam sio watu wa kupenda kuona wanaonewa na kunyimwa haki zao nao kukaa kizembe tu hio haiwezekani.

Nyerere kutambua nguvu kubwa iliyopo ndani ya waislam katika kupinga uonevu na kudai haki pale wanapoona wana pokonywa aliamua kufanya uharamia wa kuua organization strong ya waislam na kuunda chombo dhaifu BAKWATA ambacho ni kama kibaraka wa serikali.

Waislam wakiwa na nguvu yao halisi tena hawatashindwa kupigania haki tena pale watakapo ona zinavunjwa.
Shida kubwa ni kukosekana kwa mstari "vya kaisari apewe kaisari" katika Quran. Mara nyingi kuvunjwa kwa haki za kiislamu hua zinatafsiriwa moja kwa moja kama kuvunjwa kwa haki za mwananchi/raia ni vitu viwili tofauti. Kukosekana kwa utengano kati ya dini na serikali ni tatizo kwa dini zote na ni chanzo cha uvunjifu mkubwa zaidi wa haki za binadamu maana kwa dini zote mara nyingi kafir/mpagani anachukuliwa kama sio mwanadamu.
 
Ukisoma kuhusu historia ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika toka mwanzo unaweza kuona mchango wa waislam wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Hii ni toka vita vya maji maji hadi wakati wa mapambano ya TAA.

Waislam wa Tanganyika wamechangia kwa asilimia kubwa sana kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika.

Kwa tabia za waislam kote duniani ni kwamba waislam sio watu wa kupenda kuona wanaonewa na kunyimwa haki zao nao kukaa kizembe tu hio haiwezekani.

Nyerere kutambua nguvu kubwa iliyopo ndani ya waislam katika kupinga uonevu na kudai haki pale wanapoona wana pokonywa aliamua kufanya uharamia wa kuua organization strong ya waislam na kuunda chombo dhaifu BAKWATA ambacho ni kama kibaraka wa serikali.

Waislam wakiwa na nguvu yao halisi tena hawatashindwa kupigania haki tena pale watakapo ona zinavunjwa.
Nonsense

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni Mtanzania nisie mlevi wa imani yoyote ile ya kuletewa wala ya asili ya hapa hapa Afrika.

Mimi nimezungumzia kama Mtanzania wa kawaida sio wa imani hiyo unayofikiri chunga hilo

Mtanzania wa kawaida hujitenga na hoja za kidini.
 
Waarabu wanamchango mkubwa katika elimu ya hisabati na madawa duniani jifunze hata hao wazungu elimu kubwa wameipatia kwa hao hao waarabu unao wadharau

Soga kama soga nyingine,giants wa modern education ni wagiriki.
 
Ukisoma kuhusu historia ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika toka mwanzo unaweza kuona mchango wa waislam wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Hii ni toka vita vya maji maji hadi wakati wa mapambano ya TAA.

Waislam wa Tanganyika wamechangia kwa asilimia kubwa sana kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika.

Kwa tabia za waislam kote duniani ni kwamba waislam sio watu wa kupenda kuona wanaonewa na kunyimwa haki zao nao kukaa kizembe tu hio haiwezekani.

Nyerere kutambua nguvu kubwa iliyopo ndani ya waislam katika kupinga uonevu na kudai haki pale wanapoona wana pokonywa aliamua kufanya uharamia wa kuua organization strong ya waislam na kuunda chombo dhaifu BAKWATA ambacho ni kama kibaraka wa serikali.

Waislam wakiwa na nguvu yao halisi tena hawatashindwa kupigania haki tena pale watakapo ona zinavunjwa.
Ulichokiandika kinapingana chenyewe.
Umesema Waislamu hawapendi kuonewa hupigania haki yao.
Hapo hapo unasema Nyerere aliua jumuiya zenye nguvu za Waislamu akaunda BAKWATA. Inakuaje watu wasiopenda kuonewa walikubali kuonewa kwa kuvunjiwa jumuiya yao na kuletewa jumuiya feki ?
Haki za Waislamu zinazovunjwa kwa sasa ni zipi ?
 
Watu bwana sasa hao Waislamu wamefanywa wawe illegal kw nchi??? Walitaka wapewe nn labda? Nchi moja ya kila mtu na secular; wanaolalama kuhusu Uislam TZ wanataka kutuletea masheria ya kiislam kudidimiza wengine au ukiikosoa; eti waislam wanapinga uonevu duniani😂😂😂 Wao wanapingaga ikihusiana Waislamu wenzao tu na ukiikosoa dini yao. Kipindi Saudi inaua waYemen ulisikia kelele kutoka kwa Waislam wengi km hii ya Gaza? Assad alivyoua wananchi wake? Rwandan Genocide? Darfur genocide? Taliban wanavyowafanya wanawake au Iran na Saudi? Unasikia kelele???😂😂😂wao ni Wasio waislam tu vs waislam. Kwanza hii nchi inabidi iwe secular zaidi ya hapa; watu wa dini si wa kuwapa madaraka hata kidogo.
 
Maraisi Waislamu
Mwinyi
Kikwete
Samia
Hamwoni kuwa hayo ni mafanikio ya Uislamu.

Ila acheni kabisa tabia ya kuwakaribisha Magaidi kwenye maeneo yenu.
Hili ni onyo la mwisho.
 
Hakuna mahali nimesema zinavunjwa haki za waislam soma kwa utulivu
 
Umesoma ukaelewa au umekurupuka tu
 
Ukisoma kuhusu historia ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika toka mwanzo unaweza kuona mchango wa waislam wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Hii ni toka vita vya maji maji hadi wakati wa mapambano ya TAA.

Waislam wa Tanganyika wamechangia kwa asilimia kubwa sana kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika.

Kwa tabia za waislam kote duniani ni kwamba waislam sio watu wa kupenda kuona wanaonewa na kunyimwa haki zao nao kukaa kizembe tu hio haiwezekani.

Nyerere kutambua nguvu kubwa iliyopo ndani ya waislam katika kupinga uonevu na kudai haki pale wanapoona wana pokonywa aliamua kufanya uharamia wa kuua organization strong ya waislam na kuunda chombo dhaifu BAKWATA ambacho ni kama kibaraka wa serikali.

Waislam wakiwa na nguvu yao halisi tena hawatashindwa kupigania haki tena pale watakapo ona zinavunjwa.
Hawa wajamaa wanapenda sana dunia hii isikalike. Always haki haki. Haki zipi hizo? Kila sehemu walipo wannalalamika na kupigana tu. Ndio maana wengi wanaamini Uislam ni dini ya shetani.
 
Maraisi Waislamu
Mwinyi
Kikwete
Samia
Hamwoni kuwa hayo ni mafanikio ya Uislamu.

Ila acheni kabisa tabia ya kuwakaribisha Magaidi kwenye maeneo yenu.
Hili ni onyo la mwisho.
Umesoma ukaelewa au umekurupuka tu
 
Nyie wajamaa mnapenda sana dunia hii isikalike. Always haki haki. Haki zipi hizo? Kila sehemu mkiwa mnalalamika na kupigana tu. Ndio maana wengi wanaamini nyie ni dini ya shetani.
Nani muislam wewe mpumbavu unafikiri andiko hili ni kwa ajili ya kuelezea haki za waislam tu
 
Back
Top Bottom