Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Dhuluma si dhuruma.Walikuwa wanadhurumiwa haki gani na nani alikuwa anafanya hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhuluma si dhuruma.Walikuwa wanadhurumiwa haki gani na nani alikuwa anafanya hivyo?
Mtu wa hovyo kabisa yule .Mikoa mingi ya pwani aliiua kwa sababu ya udini. Miji kama Tabora, Kigoma, Tanga, Lindi na Mtwara aliiua kwa sababu ya udini. Hata kuhamisha makao makuu kutoka Dar kwenda Dodoma kulikuwa na chembe za udini.
Story za vijiweni hizi mtu anatafuta sababu ya kutunga ili kuhalalisha mtazamo wake. Hiyo mikoa uliyoitaja tangu Mwl. Nyerere ametoka madarakani ni kipi kimewazuia kupiga hatua ?Mikoa mingi ya pwani aliiua kwa sababu ya udini. Miji kama Tabora, Kigoma, Tanga, Lindi na Mtwara aliiua kwa sababu ya udini. Hata kuhamisha makao makuu kutoka Dar kwenda Dodoma kulikuwa na chembe za udini.
Hawa walioiunda Bakwata hawakuwa waislamu? Au walikuwa wanatafuna ile kitu? Kwa sababu wanadai ukianza kula ile kitu lazima uanaharakati upungue.Ukisoma kuhusu historia ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika toka mwanzo unaweza kuona mchango wa waislam wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Hii ni toka vita vya maji maji hadi wakati wa mapambano ya TAA.
Waislam wa Tanganyika wamechangia kwa asilimia kubwa sana kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika.
Kwa tabia za waislam kote duniani ni kwamba waislam sio watu wa kupenda kuona wanaonewa na kunyimwa haki zao nao kukaa kizembe tu hio haiwezekani.
Nyerere kutambua nguvu kubwa iliyopo ndani ya waislam katika kupinga uonevu na kudai haki pale wanapoona wana pokonywa aliamua kufanya uharamia wa kuua organization strong ya waislam na kuunda chombo dhaifu BAKWATA ambacho ni kama kibaraka wa serikali.
Waislam wakiwa na nguvu yao halisi tena hawatashindwa kupigania haki tena pale watakapo ona zinavunjwa.
Kwenye science misamiati mingi ni ya kigiriki na kwanini sio ya kiarabuHistoria ya hisabati unaifahamu ?
Asingemuachia mwinyi kuwa RaisNyerere ni adui namba wani wa Taifa.
Nyerere alikuwa adui mkubwa wa Uislam
Aliamua kupigana na Uganda Kwasababu Iddi amini ni muislam na kusababisha nchi kufirisika na kuzidiwa na Kenya
Mkatili ila alimpa mwinyi uraisNyerere alikuwa mnafiki sana anajifanya anapigania udini kumbe yeye ndio chanzo ....Alikuwa mkatili sana kaua baadhi ya mikoa kwa ushamba wake.
Kupoz huyo kafanya ujinga sana .Mkatili ila alimpa mwinyi urais
Waarabu ukiwaonea wana kuangalia tu eti ?Kwa tabia za waislam kote duniani ni kwamba waislam sio watu wa kupenda kuona wanaonewa na kunyimwa haki zao nao kukaa kizembe tu hio haiwezekani.
Wewe jamaa muongo,95% ya Muslims ni waarabu na waarabu ndio tabaka linaloongozwa kwa kuonewa hapa Duniani.
Dhuluma si dhuruma.
Faana,
Tujengane tusaidiane kwa kurekebishana hata mimi sikuwa na uhakika wakati naandika Mohamad said ikanibidi notafute google ndipo nikaandikaFaana,
Kiswahili kimepiga hatua kubwa mbele.
Sikupata hata sikumoja kulisikia neno hili ''dhuruma.''
Ndiyo maana nasikia, ''Habali,'' badala ya ''Habari.''
Ahsante kwa kunipa msamiati mpya.
Mkuu Mohamad said nimetafuta neno hilo kwenye kamusi ya TUKI upo sahihi sasa sijui google walilitoa wapiFaana,
Kiswahili kimepiga hatua kubwa mbele.
Sikupata hata sikumoja kulisikia neno hili ''dhuruma.''
Ndiyo maana nasikia, ''Habali,'' badala ya ''Habari.''
Ahsante kwa kunipa msamiati mpya.