Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Nyerere alikuwa mnafiki sana anajifanya anapigania udini kumbe yeye ndio chanzo ....Alikuwa mkatili sana kaua baadhi ya mikoa kwa ushamba wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma ndio maana nimejibu kw uyo Nyerere kawanyima haki gani? Wanaweza kuunda kingine chochote ya iyo Bakwata lakini hakuna ruhusa ya chama chochote kwa ajili ya dini.Umesoma ukaelewa au umekurupuka tu
Historia ya hisabati unaifahamu ?
Nyerere sijui alawafanya nini hawa watu
Hawana hoja zaidi ya story za kwenye vijiwe vya kahawa tu. Ukimbana kwa hoja utasikia anaishia kutoa matusi tu ila kutoa hoja za kueleweka juu ya Mwl.hawaweziNyerere sijui alawafanya nini hawa watu
Kitendo cha strong organisation yao kuvunjwa na kuanzishiwa BAKWATA kwa mujibu wa andiko lako sio kuonewa huko ? Sio kuvunjiwa haki yao huko ?Hakuna mahali nimesema zinavunjwa haki za waislam soma kwa utulivu
TEC,CCT na BAKWATA ni mabaraza yaliyoundwa kwa sheria moja? Na kabla ya haya yote kulikuwa na vyombo vingine vilivyokuwa vinayaendesha kama ilivyokuwa kwa EAMWS,Mbona wengine hawalalamiki?Kitendo cha strong organisation yao kuvunjwa na kuanzishiwa BAKWATA kwa mujibu wa andiko lako sio kuonewa huko ? Sio kuvunjiwa haki yao huko ?
Soma vizuri andiko lako
1. Nyerere amefariki miaka 24 iliyopitaUkisoma kuhusu historia ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika toka mwanzo unaweza kuona mchango wa waislam wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Hii ni toka vita vya maji maji hadi wakati wa mapambano ya TAA.
Waislam wa Tanganyika wamechangia kwa asilimia kubwa sana kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika.
Kwa tabia za waislam kote duniani ni kwamba waislam sio watu wa kupenda kuona wanaonewa na kunyimwa haki zao nao kukaa kizembe tu hio haiwezekani.
Nyerere kutambua nguvu kubwa iliyopo ndani ya waislam katika kupinga uonevu na kudai haki pale wanapoona wana pokonywa aliamua kufanya uharamia wa kuua organization strong ya waislam na kuunda chombo dhaifu BAKWATA ambacho ni kama kibaraka wa serikali.
Waislam wakiwa na nguvu yao halisi tena hawatashindwa kupigania haki tena pale watakapo ona zinavunjwa.
Nyie si mko bize na Madras, jamaa aliwazidi akili.Ukisoma kuhusu historia ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika toka mwanzo unaweza kuona mchango wa waislam wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Hii ni toka vita vya maji maji hadi wakati wa mapambano ya TAA.
Waislam wa Tanganyika wamechangia kwa asilimia kubwa sana kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika.
Kwa tabia za waislam kote duniani ni kwamba waislam sio watu wa kupenda kuona wanaonewa na kunyimwa haki zao nao kukaa kizembe tu hio haiwezekani.
Nyerere kutambua nguvu kubwa iliyopo ndani ya waislam katika kupinga uonevu na kudai haki pale wanapoona wana pokonywa aliamua kufanya uharamia wa kuua organization strong ya waislam na kuunda chombo dhaifu BAKWATA ambacho ni kama kibaraka wa serikali.
Waislam wakiwa na nguvu yao halisi tena hawatashindwa kupigania haki tena pale watakapo ona zinavunjwa.
Kinyungu,1. Nyerere amefariki miaka 24 iliyopita
2. Nyerere ametoka kwenye urais miaka 38 iliyopita
3. Nyerere ametoka kwenye urais wa ccm miaka 33 iliyopita
4. Tangu Nyerere ameondoka kuna marais watatu Waislam wametawala muungano Tanganyika na Zanzibar na hata sasa Rais ni Muislam
i) Enyi Waislam ni kitu gani kinawashinda kuikataa BAKWATA na kuunda hicho mnachotaka nyie?
ii) Mnataka ccm/serikali/rais awasaidie kuunda hicho mnachotqka ili baadae tena mseme ni cha ccm/serikali?
iii) Hii hoja yako inafanana na ile anayoleta kila siku hapa Mohamed Said akidai serikali ilizuia wasijenge chuo kikuu cha Waislam. Ukimuuliza hata sasa inazuia? Hakuna jibu la maana analokupa zaidi ya kusema wameiuliza serikali kwa jini ilizuia.
Ike...Nyie si mko bize na Madras, jamaa aliwazidi akili.
Kinyungu,
Kuna mengi usiyoyajua.
Mwaka wa 1997 Darul Imaan kutoka Saudia ilitaka kujenga Chuo Cha Ufundi Kibaha.
Vyombo vyote vya habari vikaanza propaganda kuwa Waarabu wameingia Kibaha wanapora ardhi.
Darul Imaan ikasitisha mradi huo lau kama walikuwa wamenunua ardhi na kuwalipa wote kama sheria isemavyo.
Serikali ilikuwa kimya.
Kinyungu,Kwa nini hamjengi chuo kikuu? Kwa nini hamuundi chombo chenu ili serikali isiwaingilie?
Swali la kizushi: kwa nini Waislam wa Tanzania wanapenda kujifanya ni wamoja ilhali nyie mpo madhehebu mengi tena yasiyo na mashirikiano ya karibu. Mfano kuna Shia, Sunni, Ibadi, Ismailia, Bohora, Ahmadiyya..n.k. je mkiunda chombo hayo madhehebu yote yatakuwa chini ya hicho chombo mtakachounda?
Hoja ya Kibaha ni kutanua magoli. Tujikite kwenye hoja ya awali.
Walikuwa wanadhurumiwa haki gani na nani alikuwa anafanya hivyo?Nyerere kutambua nguvu kubwa iliyopo ndani ya waislam katika kupinga uonevu na kudai haki pale wanapoona wana pokonywa aliamua kufanya uharamia wa kuua organization strong ya waislam na kuunda chombo dhaifu BAKWATA ambacho ni kama kibaraka wa serikali.
Hata chuo kikuu mpaka leo wana kimoja tena cha kupewa na Mkapa mkristu
Mikoa mingi ya pwani aliiua kwa sababu ya udini. Miji kama Tabora, Kigoma, Tanga, Lindi na Mtwara aliiua kwa sababu ya udini. Hata kuhamisha makao makuu kutoka Dar kwenda Dodoma kulikuwa na chembe za udini.Nyerere alikuwa mnafiki sana anajifanya anapigania udini kumbe yeye ndio chanzo ....Alikuwa mkatili sana kaua baadhi ya mikoa kwa ushamba wake.