Nguvu ya Waislam kupigania haki iliuliwa na Nyerere

Mikoa mingi ya pwani aliiua kwa sababu ya udini. Miji kama Tabora, Kigoma, Tanga, Lindi na Mtwara aliiua kwa sababu ya udini. Hata kuhamisha makao makuu kutoka Dar kwenda Dodoma kulikuwa na chembe za udini.
Mtu wa hovyo kabisa yule .
 
Mikoa mingi ya pwani aliiua kwa sababu ya udini. Miji kama Tabora, Kigoma, Tanga, Lindi na Mtwara aliiua kwa sababu ya udini. Hata kuhamisha makao makuu kutoka Dar kwenda Dodoma kulikuwa na chembe za udini.
Story za vijiweni hizi mtu anatafuta sababu ya kutunga ili kuhalalisha mtazamo wake. Hiyo mikoa uliyoitaja tangu Mwl. Nyerere ametoka madarakani ni kipi kimewazuia kupiga hatua ?
 
Hawa walioiunda Bakwata hawakuwa waislamu? Au walikuwa wanatafuna ile kitu? Kwa sababu wanadai ukianza kula ile kitu lazima uanaharakati upungue.
 
Nyerere ni adui namba wani wa Taifa.
Nyerere alikuwa adui mkubwa wa Uislam
Aliamua kupigana na Uganda Kwasababu Iddi amini ni muislam na kusababisha nchi kufirisika na kuzidiwa na Kenya
 
Tunamshukuru Mungu kwa hilo! Huenda Tanzania ingekuwa Islamic country!
Kwa taarifa yako hao hao Waislam ndiyo waliomteua Nyerere aongoze mapambano ya kudai uhuru wa Tanganyika!
After then hakuna Muislamu ambaye alikuwa amesoma kama Nyerere wa kuweza kuiongoza nchi!
 
Kwa tabia za waislam kote duniani ni kwamba waislam sio watu wa kupenda kuona wanaonewa na kunyimwa haki zao nao kukaa kizembe tu hio haiwezekani.

Wewe jamaa muongo,95% ya Muslims ni waarabu na waarabu ndio tabaka linaloongozwa kwa kuonewa hapa Duniani.
 
Waarabu ukiwaonea wana kuangalia tu eti ?
 
Faana,
Kiswahili kimepiga hatua kubwa mbele.
Sikupata hata sikumoja kulisikia neno hili ''dhuruma.''

Ndiyo maana nasikia, ''Habali,'' badala ya ''Habari.''
Ahsante kwa kunipa msamiati mpya.
Tujengane tusaidiane kwa kurekebishana hata mimi sikuwa na uhakika wakati naandika Mohamad said ikanibidi notafute google ndipo nikaandika

All in all tupo pamoja🙏
 
Faana,
Kiswahili kimepiga hatua kubwa mbele.
Sikupata hata sikumoja kulisikia neno hili ''dhuruma.''

Ndiyo maana nasikia, ''Habali,'' badala ya ''Habari.''
Ahsante kwa kunipa msamiati mpya.
Mkuu Mohamad said nimetafuta neno hilo kwenye kamusi ya TUKI upo sahihi sasa sijui google walilitoa wapi
 
Kwel Nyerere ni Big brain! Imagine kawashika akili kundi kubwa la watu akawasaidia kupata uhuru akawatengenezea mifumo na mpaka Leo ina-operate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…