Nguvu zitokanazo na kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu(celibacy)

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,842
Reaction score
10,164
Natumai mmeshinda salama salimini. Jioni hii ningependa kuwashirikisha mambo kadhaa kuhusu dhana ya celibacy

Celibacy ni neno lenye maana ya kutawala tamaa za ngono kwa muda mrefu aidha kwa kufuata utamaduni fulani au utaratibu wa mtu binafsi
Zifuatazo ni baadhi ya faida zitokanazo na Celibacy

1.Hutunza nguvu za asili(spiritual energy)

2.Spiritual energy ndo nguvu kubwa zaidi kushinda nguvu za kimwili

3.Huimarisha afya ya akili na utulivu

4.Hufungua milango ya mafanikio kwa maana Mungu huwasiliana na kilichotakaswa(Mtu msafi)

5.Huleta mvuto kwa watu,biashara,kazini,mapenzi n.k

6.Humfanya mtu asizeeke mapema(living young)

7.Huimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanaume hasa akitunza shahawa kwa muda mrefu
N.B:Uzi huu hauwafungi wanandoa
 
Wapiga nyeto mna Kikao Chenu….
Samahani yakwako ni....
20250820_071859.jpg
 
Namba 7 ondoa.
Mbegu zilizowekwa unazaa kulewa na unatakiwa siku 5 kabla uwe umetoa ndio ikapigwa mimba
 
Back
Top Bottom