Nguvu zitokanazo na kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu(celibacy)

Nguvu zitokanazo na kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu(celibacy)

Utapata prostate cancer wewe, mwaga shahawa hizooo!!

Celibacy waachie Buddhist monks na Catholic priests.

Mwanaume rijali, peleka motooo!

Mwaga motooo!!
Prostate cancer

Buddhist monks na Catholic priests.
Wangepata.
Ila ninajua na 50+ age
 
Ukifatilia vizuri hizo ni pumbazo tu hakuna faida ya kufanya mapenzi wala ya kutofanya mapenzi

Ni ujinga ujinga ambao upo tu ili mradi kupumbazana tu akili

Tafuta kazi, anzisha biashara, ajiriwa, jiajiri.. pata pesa jenga himaya yako kuwa na pesa zako benk nyingi, jijengee heshima.. ukiamua oa hautak usioe

Zalisha wanawake hautak acha.. maisha tu ukifika mda kufa, uzikwe

Vitu vingi duniani ni porojo tu
 
Ukifatilia vizuri hizo ni pumbazo tu hakuna faida ya kufanya mapenzi wala ya kutofanya mapenzi

Ni ujinga ujinga ambao upo tu ili mradi kupumbazana tu akili

Tafuta kazi, anzisha biashara, ajiriwa, jiajiri.. pata pesa jenga himaya yako kuwa na pesa zako benk nyingi, jinengee heshima.. ukiamua ua hautak usioe

Zalisha wanawake hautak acha.. maisha tu ukifika mda kufa, uzikwe

Vitu vingi duniani ni porojo tu
Huwezi kuwa double standard lazima uchague kimojawapo
 
Natumai mmeshinda salama salimini. Jioni hii ningependa kuwashirikisha mambo kadhaa kuhusu dhana ya celibacy

Celibacy ni neno lenye maana ya kutawala tamaa za ngono kwa muda mrefu aidha kwa kufuata utamaduni fulani au utaratibu wa mtu binafsi
Zifuatazo ni baadhi ya faida zitokanazo na Celibacy

1.Hutunza nguvu za asili(spiritual energy)

2.Spiritual energy ndo nguvu kubwa zaidi kushinda nguvu za kimwili

3.Huimarisha afya ya akili na utulivu

4.Hufungua milango ya mafanikio kwa maana Mungu huwasiliana na kilichotakaswa(Mtu msafi)

5.Huleta mvuto kwa watu,biashara,kazini,mapenzi n.k

6.Humfanya mtu asizeeke mapema(living young)

7.Huimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanaume hasa akitunza shahawa kwa muda mrefu
N.B:Uzi huu hauwafungi wanandoa
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom