Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Ongezea baba parokoMitano tena
Haaaaaah spirituallyUtapata prostate cancer wewe, mwaga shahawa hizooo!!
Celibacy waachie Buddhist monks na Catholic priests.
Mwanaume rijali, peleka motooo!
Mwaga motooo!!
Natumai mmeshinda salama salimini. Jioni hii ningependa kuwashirikisha mambo kadhaa kuhusu dhana ya celibacy
Celibacy ni neno lenye maana ya kutawala tamaa za ngono kwa muda mrefu aidha kwa kufuata utamaduni fulani au utaratibu wa mtu binafsi
Zifuatazo ni baadhi ya faida zitokanazo na Celibacy
1.Hutunza nguvu za asili(spiritual energy)
2.Spiritual energy ndo nguvu kubwa zaidi kushinda nguvu za kimwili
3.Huimarisha afya ya akili na utulivu
4.Hufungua milango ya mafanikio kwa maana Mungu huwasiliana na kilichotakaswa(Mtu msafi)
5.Huleta mvuto kwa watu,biashara,kazini,mapenzi n.k
6.Humfanya mtu asizeeke mapema(living young)
7.Huimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanaume hasa akitunza shahawa kwa muda mrefu
N.B:Uzi huu hauwafungi wanandoa
Nauza KY/ KLYNina wiki ya 3 sijagonga aisee, dudukila linakuwa korofi, linaumuka hovyo, na linakuwa la motooooo, kiasi nahisi paja kuungua, hii tabu siiwezi leo NAVUNJA KIBUBU
Tuna azimio la kutosikiliza maelezo ya wanaojifanya kutushauri tuache.Wapiga nyeto mna Kikao Chenu….
Samahani yakwako ni....Wapiga nyeto mna Kikao Chenu….
Jaribu hata kufap utanishukuruUhakika mkuu?
Jaribu kunofapUhakika mkuu?
Siwezi jichukulia sheria mkononi.Nauza KY/ KLY
Namba 7 ondoa.Natumai mmeshinda salama salimini. Jioni hii ningependa kuwashirikisha mambo kadhaa kuhusu dhana ya celibacy
Celibacy ni neno lenye maana ya kutawala tamaa za ngono kwa muda mrefu aidha kwa kufuata utamaduni fulani au utaratibu wa mtu binafsi
Zifuatazo ni baadhi ya faida zitokanazo na Celibacy
1.Hutunza nguvu za asili(spiritual energy)
2.Spiritual energy ndo nguvu kubwa zaidi kushinda nguvu za kimwili
3.Huimarisha afya ya akili na utulivu
4.Hufungua milango ya mafanikio kwa maana Mungu huwasiliana na kilichotakaswa(Mtu msafi)
5.Huleta mvuto kwa watu,biashara,kazini,mapenzi n.k
6.Humfanya mtu asizeeke mapema(living young)
7.Huimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanaume hasa akitunza shahawa kwa muda mrefu
N.B:Uzi huu hauwafungi wanandoa
Serious?Nauza KY/ KLY