Unajua hazina expansion joints. Kwahiyo ni hatari hata sijui nani kazi katengeneza
Na jitu linaongea huku flaizi ya sarawili imetulia tu.Merde!style ya nguzo inafikirisha ..... hata mie nilijua ndani inasukwa kwa nondo kuongeza uimara
watakuja wachambuzi wa gharama za nguzo za zege vs miti
zege ni shingi XXX
miti ni shilingi XX
Zege zina faida X
Kwa akili yako tuendelee kukata miti kujenga nguzo? FYI Hizo nguzo si nzito hivyo kwavile Zina uwazi (hollow) katikati nguzo ya miti ni nzito zaidi!Zinadondoka lakini haziwezi kuleta madhara makubwa kutokana na uzito mdogo kulinganisha na za zege
Sikiliza kwa makini yaani jua kali likipiga zege linatanuka likipigwa Baridi ninasinyaa Sasa ukiwa na zege lefu au Pana. Juu panakuwa pabaridi chini panakuwa pamoto. Lazima lipasuke tu. Angalia zile njia za kuvukia Magufuli hostel zilipasukaHahah naona umekomaa na neno expansion joints...
Mimi sio mtaalamu wa ujenzi lakini sidhani kama aina hiyo ya nguzo za sege inahitaji uwepo wa expansion joint...
Itakuwa tu labda nguzo zimetengenezwa kwa kiwango duni cha materials, pengine pia hazifanyiwa simulation kulingana na wapi zitapotumika n.k
Vilevile kwa kuwa tunaishi Afrika, susala la hujuma huwezi kulipuuzia kama ambavyo kuna wazee wa vyuma chakavu kwenye miundombinu mingine...
Hizo nguzo zina 600kg-1 tonne kama sikosei. Unasema kwa uzito huo sio nzito sana. Ziko hollow ndio lakini compression iliyofanyika hapo sio ya kitoto. Hizo nguzo ni nzito sana.Kwa akili yako tuendelee kukata miti kujenga nguzo? FYI Hizo nguzo si nzito hivyo kwavile Zina uwazi (hollow) katikati nguzo ya miti ni nzito zaidi!
Unaona sasa hata uzito wake hujui!Hizo nguzo zina 600kg-1 tonne kama sikosei. Unasema kwa uzito huo sio nzito sana. Ziko hollow ndio lakini compression iliyofanyika hapo sio ya kitoto. Hizo nguzo ni nzito sana.
Sikuwahi kufikiri akawa hazina bars ndani.
Sasa hiyo 9m huoni ina 600kg, nimedanganya wapi. Kumbuka nilisoma moja ya nguzo zilizokuwa zimelazwa chini karibu na makazi yangu.Unaona sasa hata uzito wake hujui!
Concrete Electric Pole, Length, Weight, Price, RCC Pole, PCC Pole
In this article, I will discuss what is an electric pole, the working load of the electric pole, pre-stressed concrete, weight of electric pole...cselectricalandelectronics.com
Hatari SANAKudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari.
Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka.
Mimi nilishangaa engineers waliyozitengeneza hizi nguzo hazina expansion joints. Sasa sijui technology iliyotumika hapo ni ipi. Mimi ninavyojua hizi hazidumu kabisa.
Kuna nguzo za umeme za zege zilijengwa kwenye Reli ya kati. Zile nguzo kwakukuwa hazina expansion joints zilibubujika zikabakia vyuma.
Hawa sijui wanatumia science gani. Ukipita kwenye madaraja yote, barabara ya mwendokasi na sehemu nyinginezo. Huwezi kuweka zege kwenye jua bila expansion joints.
Hayanihusu.
Video hii hapa nguzo imeanguka
View attachment 2693787
Zege huwa haina nguvu ya kuhimili tensile stress; ndiyo maana rebars zinatakiwa sana. Nguzo hiyo ikipuliziwa upepo ikapinda kidogo tu, basi tensile stress itakayotokana na deflection itapanda kwa ghafla sana kutokana na eccentricity ya CG na kusababisha nguzo kuvunjika mara moja kwa kukosa rebars.Hazina vyuma ndani ndio tatizo
Kila kitu ni fursa ya kupiga kwa mbongoWabongo washaanza kuchakachua huko....
Ova
Huwa hzina mkuu mara ya kwanza kuziona hata mimi nilishtukaHizo nguzo zina 600kg-1 tonne kama sikosei. Unasema kwa uzito huo sio nzito sana. Ziko hollow ndio lakini compression iliyofanyika hapo sio ya kitoto. Hizo nguzo ni nzito sana.
Sikuwahi kufikiri akawa hazina bars ndani.
Cc: Dr January MakambaKudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari.
Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka.
Mimi nilishangaa engineers waliyozitengeneza hizi nguzo hazina expansion joints. Sasa sijui technology iliyotumika hapo ni ipi. Mimi ninavyojua hizi hazidumu kabisa.
Kuna nguzo za umeme za zege zilijengwa kwenye Reli ya kati. Zile nguzo kwakukuwa hazina expansion joints zilibubujika zikabakia vyuma.
Hawa sijui wanatumia science gani. Ukipita kwenye madaraja yote, barabara ya mwendokasi na sehemu nyinginezo. Huwezi kuweka zege kwenye jua bila expansion joints.
Hayanihusu.
Video hii hapa nguzo imeanguka
View attachment 2693787