Nguzo za umeme za zege sasa ni hatari kwa maisha kuweni makini msikae karibu

Hatupingi nguzo za zege tatizo hatengenezwi wa ubora na vigezo. Huwezi ukajiwekea zege hapo bila kujali hali ya hewa. Hata waliyojenga pyramid waliweka rami kama expansion joint. Sasa unaweka zege hapo unasema zege ni imara.
Nimekazia kuwa na wataalam zaidi ambao ndiyo msingi wa ubora wa kazi katika mahali popote hata huyo MD wa Tanesco mfumo ukaona utaalamu wake ndiyo maana ukamuamini lahasha angekuwa huko anacheza na wahindi (Dstv).

Baada ya kupata wataalam ndiyo utapata ukaguzi wa hizo nguzo za zege kabla ya kutengenezwa kwa ubora na namna ya kusimamia zikiwa eneo la kazi tofauti na hapo ni uhalibifu wa kazi jahazi aliwezi endeshwa na kila mtu( Nenda TANESCO ofisi za Dsm za mikoa kisha uje utoe ushuhuda dhidi ya wataalam wa kada ya uhandisi utakuja shika kichwa kwa ujuha wao na wakati huo wanao wataalam ambao ni kugusa tu wanafit hizo sehemu ).
 
Expansion join si kuangalia uimara ni kitu frani ma-engineer wengi wanazalau environment factor lakini ni muhimu sana. Environment factor hizi nguzo zinaanguka haraka kwasababu ya environment factor.
Hata ingekuwa reinforced bado zingeweka alama za mpasuko tu taratibu zingepinda.
 
 

Kunatakuwa uchakachuaji kuna nguzo nimewahi ziona za namna hiyo iliyovunjikq kidogo na ndani kulikuwa na nondonkqmq za mm6 au 8 hivi so wambongo hapo wamefanya yao
 
Inatafutwa sababu ya kuanza kununua nguzo kutoka Nje ya nchi nadhani!!! Mleta mada Nisamehe kwa mawazo yangu haya maana sina uhakika lakini fikra zanituma kuwaza hivyo!
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…