Tafuta mtaalamu au mwenye tenda au wizara ielezee gharama ya nguzo hiyo na ndipo tutapata majibu ya chanzo.Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari.
Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka.
Mimi nilishangaa engineers waliyozitengeneza hizi nguzo hazina expansion joints. Sasa sijui technology iliyotumika hapo ni ipi. Mimi ninavyojua hizi hazidumu kabisa.
Kuna nguzo za umeme za zege zilijengwa kwenye Reli ya kati. Zile nguzo kwakuwa hazina expansion joints zilibubujika zikabakia vyuma.
Hawa sijui wanatumia science gani. Ukipita kwenye madaraja yote, barabara ya mwendokasi na sehemu nyinginezo. Huwezi kuweka zege kwenye jua bila expansion joints. Hayanihusu.
Video hii hapa nguzo imeanguka
Mmoja alishakufa kwa kudodokewa na hiyo nguzo bado unasema haziwezi kuleta madhara.Zinadondoka lakini haziwezi kuleta madhara makubwa kutokana na uzito mdogo kulinganisha na za zege
Hizo nguzo zina uwazi katikati ni kama pipe/bomba la mafutaSikiliza kwa makini yaani jua kali likipiga zege linatanuka likipigwa Baridi ninasinyaa Sasa ukiwa na zege lefu au Pana. Juu panakuwa pabaridi chini panakuwa pamoto. Lazima lipasuke tu. Angalia zile njia za kuvukia Magufuli hostel zilipasuka
Shida itakuwepo ila matukio ni machache sana na yawezekana hiyo nguzo ilichakachukiwa siment au kokotoMbona Kenya wanazitulia sana hazina hio shida?
Kweli kabisaNyie si mnataka kila kitu wafanye wazalendo? Vumilieni sasa. Nguzo zinatengenezwa na wazalendo ambao upigaji ndiyo asili yao lazima zianguke. Unaweza kukuta bajeti ya nondo ilikuwepo lakini watu wamepiga.
Pita reli ya Tazara ndio utamuelewa Mayala.Kwahiyo za miti hazidondoki?
Labda zilikuwa bado mpya 😅Mbona hatukuona nguzo zinadondoka? Maana yake zilikuwa zinasimamiwa vizuri sasa hivi upigaji ni mwingi sana.
Wewe ni mpumbavu kabisa. Makosa ya kibinadamu au ni uzembe uliopitiliza? Huu ni uuaji na wahusika ndiyo walitakiwa kushitakiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi. Hii tenda ya kutengeneza ngozo wamepeana wenyewe baada ya kuanzisha viwanda uchwara ili wapige fedha. Kutengeneza kwenyewe hawajui. Ujinga kama huu ndiyo kesho wanakuja na kusema tuchukuwe waarabu kwa sababu tumefeli kumbe ni ushenzi kama huu umefumbiwa macho. Nchi hii imefikia kwenye level ya juu ya ushenzi na viongozi hawajali tena maisha.Nadhani kuna makosa tu ya kibinadamu
Kuna muwekezaji wa ndani, mjumbe wa NEC wa Ccm aliyeongoza kwa kupigiwa kura nyingi Dodoma, anatokea Mufindi, yeye ni Swahiba wa January Makamba, ameahidi kutowa nguzo za miti bure kwenye project ya Rea mkoa Fulani.Inatafutwa sababu ya kuanza kununua nguzo kutoka Nje ya nchi nadhani!!! Mleta mada Nisamehe kwa mawazo yangu haya maana sina uhakika lakini fikra zanituma kuwaza hivyo!
duuh urasimuu kila konaaaa...!! nchi za afrika kuendelea ni ngumuu sanaa aiseeeKuna muwekezaji wa ndani, mjumbe wa NEC wa Ccm aliyeongoza kwa kupigiwa kura nyingi Dodoma, anatokea Mufindi, yeye ni Swahiba wa January Makamba, ameahidi kutowa nguzo za mati bure kwenye project ya Rea mkoa Fulani.
Sasa hapa kuna Uturn inaandaliwa kurudi kwenye woods material.
mrangi ndugu yangu hii nchi imeshafikia level mbaya sana ya uzembe. Hizi nguzo zimetengenezwa kwenye viwanda vilivyoanzishwa chap chap na hao hao watu wa Tanesco ili kupiga fedha. Wahusika wa huu uzembe wanatakiwa kushtakiwa na kuhukumiwa hata kifo kwa uzembe huu. Hawa sasa ndiyo wahujumu uchumi na siyo watu wema wanaobambikiwa.Wabongo washaanza kuchakachua huko....
Ova
style ya nguzo inafikirisha ..... hata mie nilijua ndani inasukwa kwa nondo kuongeza uimara
watakuja wachambuzi wa gharama za nguzo za zege vs miti
zege ni shingi XXX
miti ni shilingi XX
Zege zina faida X
Pita reli ya Tazara, hiyo reli imejengwa kuanzia mwaka 1968 na hizo nguzo mpaka leo zipo imara.
- Tuliambiwa zinaweza kudumu mpaka miaka 100.
- Ikiwa kama tu nguzo zinatoa jasho, kujadili mikataba mizito kama ya DP inawezekana?
- Huo udhaifu inaweza kutumika kuliuza shirika.
si kweli! Nakupa homework tafuta tofauti ya hivyo viwili then utajua weigt ya pole 9m haizidi 400 kg!
Load refers to the amount of weight being carried or transported, while weight is the force exerted by an object due to gravity.Weight and load mean the same thing. Sijui mantiki yako hasa ni nini, magogo yanaweza kutofautiana ila hizo nguzo zinatengenezwa kwa uzito unaowiana.
If you read carefully, you end up with the same thing.Load refers to the amount of weight being carried or transported, while weight is the force exerted by an object due to gravity.
Load vs Weight: Meaning And Differences
Are you confused about the difference between load and weight? Many people use these terms interchangeably, but they actually have distinct meanings. In thiswww.google.com
Makosa ya kibinadamu yapi tena?Nadhani kuna makosa tu ya kibinadamu