Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Aisee NHIF mmejua kutuletea huduma karibu kijijini kwetu kwa hiyo sahizi mambo namalizia shule iliyopo kijijini kwetu hakuna kwenda wilayani mambo ni huduma karibu na wananchi.TAARIFA KWA UMMAView attachment 2549212
Au ameamua uleta tu uzi uwe tayari!Umeelewa lakini?
Yaani kutokea 50 mpaka laki 3, ndio maboresho hayo .?NHIF ina vifurushi vya bima ya afya unavyoweza kujiunga kulingana na uhitaji, ukubwa wa familia na umri. View attachment 2549277
Wewe wacha uzuzu! Serikali gani duniani inatibu raia wake?Jukumu la kutibu raia ni la serikali. Hii watu kuchangia gharama za matibabu ni kutokana na wizi wa serikali.
Ila sasa hawa Ccm wame jisahau na wana tufanyia biashara
Usiku wa deni haukawii! Mwaka sio mbali; utashangaa siku inaisha linakuibukia tukio. Tupiganie vitu endelebu.Mie melipia juzi tarehe 7-3-2023
Naona umeamua kujambia mdomoni.Wameepusha ubaguzi ... saivi kata familia tu ... watoto kwa 50,400 unapata huduma mpaka milioni 20, we ulisikia wapi duniani. Okoa mfuko
... alternatively, mtu achangie per number of persons badala ya kuwa flat rate mwenye watu 6 anachangia sawa na aliye peke yake 1!Bima ya afya upande wa NHIF ina mapungufu makubwa sana na niseme ni unyanyasaji kwa wale watumishi wa umma.
Fikiria mme na mke ni watumishi wa umma wanayo watoto wawili kama wategemezi wao hawana wazazi, lakini cha kushangaza hawawezi kuweka wategemezi wengine ambao wanaona wanapata changamoto na hawana uwezo wa kupata bima ya afya.
Je kwanini serikali inahimiza bima ya afya kwa watu wote wakati wengine wakiwekwa kama wategemezi mbali na circle ya Familia ya mwajiriwa inakuwa nongwa?
Kwakweli waangalie namna ya kurusu mtu mwenye bima ya nhif inayomwezesha kuleta idadi iliyowekwa kwenye utaratibu wa wategemezi alete bila kupangiwa either awe baba,mama, mtoto, babu, shangazi, mjomba, jirani au rafiki mradi asizidishe ile namba.
Tofauti na hapo wanaleta uwizi kwa mgongo wa bima ya afya kwa watumishi wa umma wanaotumia NHIF.
Haya mambo Wala hutawasikia Wazee wa Ufipa wakiongelea, maana wameshalambishwa asali.Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "Toto Afya Kadi" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima.
Ikumbukwe kuwa Toto Afya Kadi ilikuwa inatoa nafasi kwa watoto chini ya miaka 18 kutibiwa kwa gharama ya Tsh. 50,400/= kwa mwaka mzima.
Lakini miongozo iliyotoka hivi karibuni inaonesha kuwa mwanachama aliyekuwa akitibiwa kwa bima hii hawezi kufanya malipo mapya pale bima yale inapokwisha muda wa matumizi (hawezi kurenew).
Hivyo ni kama imeondolewa kimyakimya na hata ukitaka kulipia Bima hiyo hivi sasa wanakwambia kuwa huduma haipo.
View attachment 2549215
Ninavyo elewa maana ya neno Kuboresha ni kutoa kitu kwenye hali moja kwenda hali nyingine ambayo ni Bora zaidi kuliko ile ya awali.Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "Toto Afya Kadi" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima.
Ikumbukwe kuwa Toto Afya Kadi ilikuwa inatoa nafasi kwa watoto chini ya miaka 18 kutibiwa kwa gharama ya Tsh. 50,400/= kwa mwaka mzima.
Lakini miongozo iliyotoka hivi karibuni inaonesha kuwa mwanachama aliyekuwa akitibiwa kwa bima hii hawezi kufanya malipo mapya pale bima yale inapokwisha muda wa matumizi (hawezi kurenew).
Hivyo ni kama imeondolewa kimyakimya na hata ukitaka kulipia Bima hiyo hivi sasa wanakwambia kuwa huduma haipo.
View attachment 2549215
Wamefuta kabisaMfuko wa Bima ya Afya haujafuta Toto Afya kadi bali unafanyq maboresho katika utaratibu wa usajili ,tusome taarifa vuzuri na katika kipindi hicho mfuko umetoa utaratibu mbadala
Ni kwamba Toto Afya imefutwa, hivyo watoto watasajiliwa ka tegemezi au kupitia shule.Mfuko haujaacha kusajili watoto na bima ya afya. Utaratibu wa kusajili watoto unaendelea kupitia familia au shule wanazosoma.
Yaani mmesitisha kwa muda alafu wakajiandikishe kwenye mifuko mingine. CHANGA LA MACHO.TAARIFA KWA UMMAView attachment 2549212
UKISEMA HAUJAFUTA, JE NIKITAKA KU-RENEW BIMA YA MTOTO YA 50,400 HIVI SASA NAWEZA?Mfuko wa Bima ya Afya haujafuta Toto Afya kadi bali unafanyq maboresho katika utaratibu wa usajili ,tusome taarifa vuzuri na katika kipindi hicho mfuko umetoa utaratibu mbadala
MSIMSHIRIKISHE RAIS SAMIA KWENYE UZEMBE WENU, MAMBO YA RAIS SAMIA KULETA HUDUMA NA NHIF KUVURUNDA HAVIHUSIANIAisee NHIF mmejua kutuletea huduma karibu kijijini kwetu kwa hiyo sahizi mambo namalizia shule iliyopo kijijini kwetu hakuna kwenda wilayani mambo ni huduma karibu na wananchi.
Asante sana Mama Samia maana kwenda Bomani sie wengine hatuna nauli ya kwenda kufuatilia bora tumalizie hapahaoa kijijini kwetu