Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kakae na Nyumbu wenzako kule ulikozoea huku hakukufaiKusema ukweli mara nyingi sisi Watanzania ambao tunapost hii Forum kutaka kujitanabaisha kuwa tupo vizuri kuliko Kenya huwa tuko na ujinga mwingi sana.
Yani hatuna hata common sense. Kenya inaweza isiwe na billionaires au millionaires wengi kama Tanzania lakini distribution ya wealth kwao ikawa kubwa kuliko Tanzania (Yani gap kati ya the haves and the have nots ni ndogo kwao kulinganisha na Tanzania). Sasa hapo ni nchi gani inakuwa maskini?
Kwanini tubishane bila kutumia akili?
Samahani mkuu, nimeongea uongo ndugu yangu?Kakae na Nyumbu wenzako kule ulikozoea huku hakukufai
Distribution of wealth kati ya TZ na KE ni wapi iko juu? Tuanzie hapo.Weka facts mezani ziongee, maneno ya kwenye kanga na hisia umepotea njia
[emoji28][emoji28][emoji28] Tulia wewe na uchumi wenu wa miraaa [emoji28][emoji28][emoji28] mfuga kuku wa Singida ni billionaire Kenya [emoji38]
Okay nimegundua hapa napoteza muda kubishana na mtu ambae either huna akili au huna elimu au una elimu ila haikusaiidii.
Na wewe kama hauna facts rudi nyumbani kabangue korosho tuu usituletee mapambio hapaOkay nimegundua hapa napoteza muda kubishana na mtu ambae either huna akili au huna elimu au una elimu ila haikusaiidii.
Nikikuambia distribution of wealth unaelewa nini kwani?
Sina mda mchafu. Bishana na mabwabwa wenzio.Na wewe kama hauna facts rudi nyumbani kabangue korosho tuu usituletee mapambio hapa
I always thought you are one of the few sober Tanzanians in this forum kumbe I have always been wrong. Did you even read the report to make an informed contribution on this topic? The report lists leading countries in their respective continents.π π π Report imeanza na wa kichwani na kumaliza na wa matakoni, isingewezekana nchi zote ziwe featured hapo π π π
Kitu huyu kilaza haelewi ni kwamba asimilimia kubwa ya hizi remmittance zinaenda kwenye uwekezaji (investment) mostly in real estate wala sio kusupport everyday life as he implies . Unapoona mtu anazungumzia swala ambalo hata haelewi anafaa kupuuzwa tu.Nazungumza kuhusu faida wanazopata wawekezaji wa Kenya nchini Tz, hata kiswahili pia kinakukanganya? [emoji1] Eti remittance ni utegemezi? Wakenya wanafanya kazi kila kona duniani na hela wanazozituma nyumbani ni kwa faida yao , kwa njia zaidi ya moja, kimaendeleo, sio kwa matumizi tu ya kawaida ya wanaotumiwa.
Jombaa, unasoma kweli unachoandika kabla ya kupost? Alafu imekuaje ukaanza kuruka ruka bila formular, au ndio umeangukia pua vibaya kwenye mada yako uliotupia hapo juu kwenye uzi huu? [emoji41]
20k dollars ni kima cha mama mboga Tanzania?? π π Na iweje mnaongoza kwa umasikini ukanda huu Kama unachosema ni kweli?20k ndio bottom line bro, kima cha mama mboga huku π π
Kwa hivyo kuwa na V8 ndio kigezo cha kutathmini utajiri wa mtu? I know so many people who V8 vehicles but are not considered rich20k ni tajiri wa wapi hata vx v8 hupati π π π
Hivyo ndivyo ulifundishwa Mwananyamala primary? πNi economy law that the more billionaires the higher the millionaires
Eti wenye billionaire wawe na millionaires wachache kuliko wasio na billionaires, we kweli kichaa π π π
Ukistaajabu ya Musa utaona ya bongolalaReport murua kabisa hii hapa recently kabisa, more than new 4 million Kenyans have officially been dived into poverty lately
Najua unapenda facts kama hizi sana π π πWeka facts mezani ziongee, maneno ya kwenye kanga na hisia umepotea njia
Ukiona wameanza kupost Kibera jua wameumbuliwa. That is always their fallback plan, very predictable. π€£ π€£ π€£Report murua kabisa hii hapa recently kabisa, more than new 4 million Kenyans have officially been dived into poverty lately
Hapa wameumia kweli! Uliwayeyusha Watz, masikini wa kutupwa Afrika yote.Jombaa, tupo mwaka wa 2021 sio 2019.Africa Wealth Report 2021 - AfrAsia Bank Mauritius