Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

Hata kama anao huo uwezo hiyo ni too much. Mobeto kumbe alizaa na Mondi kama mtaji
 
diamond anaweza sana kutoa hiyo pesa sema yeye sio mjinga awe anatoa mil 5 kwa mwezi,,kwa matumizi gani ya siku 30 yanayogharimu 5 milion kwa mtoto?khaaaa!...hamisa uwe na aibu basi!! sema nawewe kama unataka ya kwako ya matumizi
 
Ww upo timamu kweli mtoto gani uyo anayetunzwa kwa milioni tano? Muwe serious
 
Ishu ni kwamba hawa vijana wote waswahili na pia hawana washauri wazuri lakini pia msishangae mkaj kusikia mtoto wa pili maana wote akili zao zinafanana
 
Miez 3 milion 15 aisee huyu bint anawashaur wabovu sana
 
Kwani kisheria ghalama ya malezi ni shs ngapi Kwa mwezi?
 
Akili za wanawake finyu sana.... Kuna kidemu kilikuja kwetu kinakaa uswazi. kikaona kigari cha mzee kimepaki., nyumba nzuri madirisha ya vioo, na milango. Mezani msosi umejaa, nalala room self peke yangu....
Kikajua yes hapa ndo nimefika.

Kwa ujinga kikategesha mimba maksudi... Kipindi hicho nimemaliza form six....
Kumbe nilikuwa choko tu sina hata hela ya vocha mfukoni...
Ili kumpa moyo nikampeleka kupima nikapata uhakika....

Badae nikamwambia ukweli sina kitu mfukoni... Baada ya mwezi sikujua ile mimba ilipotelea wapi.... Mpaka leo siji kuonesha maisha yangu halisi kwa mwanamke unless mke wa kuoa.
 
Ananikumbusha yule dada alizaa na Chris brown muimbaji wa marekani naye alienda mahakamani akataja pesa ndefu weeee CB akachomoa akasema kiwango cha kawaida kama hakitoshi apelekewe mtoto atalea
 
Dah ata wafanyakaz wanaovuja jasho na damu hawalipwi hvyo axe,tafuta kazi hamisa mdigo wangu papuchi cku hzi hazilioi tenaaaa manake ziko zile za vicoba tunakulaga tuuuu na unakuta umeng'oa kitu kaleeee wala haidai m5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…