Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
mshahara wa dc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaishia kuwa looser, ajipange tu atafute tena mwanaume wa tatu wa kumzalia mtoto wa tatuPamoja na hayo malezi ya mtoto hayahitaji milioni 5 kwa mwezi kama alitegemea kuvuna ameula wa chuya.
Ww upo timamu kweli mtoto gani uyo anayetunzwa kwa milioni tano? Muwe seriousMsanii Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz, amedai mahakamani kuwa hana uwezo wa kumlipa Mwanamitindo Hamisa Mobeto, Sh milioni tano kama gharama za matunzo ya mtoto kwa mwezi.
Diamond amewasilisha majibu hayo katika Mahakama ya Watoto Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka baada ya Mobeto kumfungulia kesi ya madai katika Mahakama hiyo ya watoto akidai mambo mbalimbali ikiwamo matunzo ya mtoto.
Katika majibu yake Diamond amedai fedha hizo anazodai Hamisa kulipwa kwa mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto ni kubwa hawezi kuzimudu.
Mobeto katika maombi yake kupitia mawakili wake Abdullah Lyana na Walter Godluck wa Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys, anaiomba mahakama imwamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto kila mwezi, mtoto huyo wa kiume aliyezaa na msanii huyo na kumuomba msamaha kwa umma kwa kumsababishia madhara yaliyoishtua familia yake.
Baada ya kupokea majibu hayo mahakama iliahirisha kesi hiyo ya madai hadi Novemba 8, mwaka huu kwa ajili ya kutajwa. Mobeto kupitia wakili wake walimpa notisi Diamond ya kutaka amwombe radhi na kupeleka matunzo ya mtoto ndani ya siku saba lakini notisi hiyo haikutekelezeka hivyo aliamua kulifikisha suala hilo mahakamani.
Eti Msanii mwenye hela nyingi mara ajiite Dangote, kumbe ni mbwembwe tu hana kitu.
Ondoa ujinga wako. Maswali hayo kawaulize wazazi wako kama unaona mazuri.Ww upo timamu kweli mtoto gani uyo anayetunzwa kwa milioni tano? Muwe serious
Ww ndio mjinga kabisa hoja gani iyo ww mama ako alikutunza kwa sh ngapi kwa mweziOndoa ujinga wako. Maswali hayo kawaulize wazazi wako kama unaona mazuri.
Kaka vipi viewz uko YouTube tupe mrejesho basi kimya sanaSi alijitamba alitoa 70,000/- kila siku kwa ajili ya mimba [emoji23]
Na atoe hiyo million 5
Mtamkoma insta na party kila mwez za mtotoHii habari iwafikie viboro dinda wote, popote walipo....
Akipewa m5 atashona mishazali yakutosha, atanunua vigodoro vya kutosha na hapo ndio itakua kupatwa kwa instagram.
Instagram itageuka ukumbi wa sherehe, dada atavaa mishazali yule, atajiedit hadi tumsahauMtamkoma insta na party kila mwez za mtoto