Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

Ni aibu Diamond kukosa Milioni tano ya Matunzo ya Mtoto. Aache kuzaa tu

huyo mtoto ananyonya maziwa au k ya mama ake?
 
Hata Mahita hakulipa hiyo kwa hoja kua mfanyakazi wa Serikali hawezi kutembea na mfanyakazi wa ndani over
 
Kupata 1M ni ngumu, labda 500K! Lakini hata ikiwa 1M, unadhani itafanana na zile ambazo angekuwa anazinyonya kimya kimya kabla hajaamua Instagram iwe ndiyo mahakama ya suala lao?!
Nakumbuka hata suala hamissa kuzaa na mond ulinibishia mnoo nilivyokuambia mond anatunza ile mimba kimya kimya, na kwa ili nabaki na msimamo wangu kuwa haiwezi shuka zaidu ya mil. 1

hivi mnajua majizzo anatoa sh ngp pale? Au mnaona raha tu Dully kuishi sehemu ambayo baba yake hana mchango wowote?

mimi ni team mond ila nafurahi sana yanayotokea haya, ili limpe funzo next time awe makini na mambo yake.
 
Milioni tano ni rejesho la mfanya biashara mmoja kariakoo mwenye heshina zake, kwa mwezi...huyu mobeto kichwani mwake kutakuwa na empty set au atakuwa.anatumia maji ya kunawa.
 
Aibu ni kwako wewe
Msanii Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz, amedai mahakamani kuwa hana uwezo wa kumlipa Mwanamitindo Hamisa Mobeto, Sh milioni tano kama gharama za matunzo ya mtoto kwa mwezi.

Diamond amewasilisha majibu hayo katika Mahakama ya Watoto Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka baada ya Mobeto kumfungulia kesi ya madai katika Mahakama hiyo ya watoto akidai mambo mbalimbali ikiwamo matunzo ya mtoto.

Katika majibu yake Diamond amedai fedha hizo anazodai Hamisa kulipwa kwa mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto ni kubwa hawezi kuzimudu.

Mobeto katika maombi yake kupitia mawakili wake Abdullah Lyana na Walter Godluck wa Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys, anaiomba mahakama imwamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto kila mwezi, mtoto huyo wa kiume aliyezaa na msanii huyo na kumuomba msamaha kwa umma kwa kumsababishia madhara yaliyoishtua familia yake.

Baada ya kupokea majibu hayo mahakama iliahirisha kesi hiyo ya madai hadi Novemba 8, mwaka huu kwa ajili ya kutajwa. Mobeto kupitia wakili wake walimpa notisi Diamond ya kutaka amwombe radhi na kupeleka matunzo ya mtoto ndani ya siku saba lakini notisi hiyo haikutekelezeka hivyo aliamua kulifikisha suala hilo mahakamani.

Eti Msanii mwenye hela nyingi mara ajiite Dangote, kumbe ni mbwembwe tu hana kitu.
Aibu ni kwako wewe uliyeandika huu uzi.Hivi kwa akili yako nyumbani kwenu familia nzima mnakula shs ngapi kwa mwezi.sasa huyu motto ni ktu gani cha ajabu atakuwa anatumia.hili li hamisa kama wewe tu ni malimbukeni.wewe mwenyewe mshara wako labda milioni sasa ungezaa na Malaya Hamisa ungekuwa unampa mshahara wote na unaenda kukopa milioni nyingine 4 kwa matunzo ya huyo faru john.
uli
 
Naomba kufafanuliwa sheria inasemaje inapofikia wazazi kufikishana maakaman.Maakama inaangalia nn ili kumuamulu mzazi kutoa kiasi furan cha matumiz
 
hiyo mahakama ikipitisha na kukubali matakwa ya huyo dada itasababisha watu wajibebeshe mimba afu wakakimbilie mahakamani....
hapo ni kumkomoa na kumpa 100,000 kwa mwezi maana kuna watu wanapata hiyo laki na mtoto anaishi
 
Hiyo hela sidhani kama atapewa
Halaf washauri wa huyu Dada sio wazuri
Na kwa akili yangu ndogo nadhani si picha Nzur sana wazaz kupelekana mahakamani
Otherwise kama imeshindikina nyie kuongea
 
Msanii Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz, amedai mahakamani kuwa hana uwezo wa kumlipa Mwanamitindo Hamisa Mobeto, Sh milioni tano kama gharama za matunzo ya mtoto kwa mwezi.

Diamond amewasilisha majibu hayo katika Mahakama ya Watoto Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka baada ya Mobeto kumfungulia kesi ya madai katika Mahakama hiyo ya watoto akidai mambo mbalimbali ikiwamo matunzo ya mtoto.

Katika majibu yake Diamond amedai fedha hizo anazodai Hamisa kulipwa kwa mwezi kwa ajili ya matunzo ya mtoto ni kubwa hawezi kuzimudu.

Mobeto katika maombi yake kupitia mawakili wake Abdullah Lyana na Walter Godluck wa Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys, anaiomba mahakama imwamuru Diamond kutoa matunzo ya mtoto kila mwezi, mtoto huyo wa kiume aliyezaa na msanii huyo na kumuomba msamaha kwa umma kwa kumsababishia madhara yaliyoishtua familia yake.

Baada ya kupokea majibu hayo mahakama iliahirisha kesi hiyo ya madai hadi Novemba 8, mwaka huu kwa ajili ya kutajwa. Mobeto kupitia wakili wake walimpa notisi Diamond ya kutaka amwombe radhi na kupeleka matunzo ya mtoto ndani ya siku saba lakini notisi hiyo haikutekelezeka hivyo aliamua kulifikisha suala hilo mahakamani.

Eti Msanii mwenye hela nyingi mara ajiite Dangote, kumbe ni mbwembwe tu hana kitu.
N kiki za mjini tu jina lizidi kung'ara tu Hakuna kingne Hapo
 
DIAMOND AACHE KULIALIA, MTOTO LAZIMA ATUNZWE KULINGANA NA KIPATO. KIPATO CHA MOND NI BN 1 KWA MWEZI
 
Back
Top Bottom