Ni aibu gani umeshawahi kupata kwenye maisha yako??

Humu kila nikisimulia stori iliyowahi kunitokea kuhusu mapenzi wanaona kama nimefanya sana hayo mambo🥲🥲
 
Humu kila nikisimulia stori iliyowahi kunitokea kuhusu mapenzi wanaona kama nimefanya sana hayo mambo🥲🥲
Mkuu hata kama ulifanya bhana!

Kwani kuna limitation kwamba kuna muongozo baada ya balkhe ama msichana akivunja ungo, mwisho wa kufanya ni mara kadhaa?

Hili janga ukikuta mtu anajiweka pembeni kwamba yeye halimhusu ni mtu wa maadili sanaaa, elewa anayenena hayo ni mnafiki hapo.

Watu hatuhesabiani matonge wakati wa kula.

Ukila matonge mawili matatu halafu ukanawa usiwajaji wenzako wanaoendelea kula kwamba ni walafi, no kila mtu na ulaji wake.
 
Sasa ndiyo nashangaa kwanini huwa wa huku wananihesabiaga matonge
 
Iliponea chupuchupu kunyanduliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…