Ni aibu jitu zima kuwa masikini halafu mtoto kama mimi nina pesa

Wewe una pesa Bakhresa asemeje! Na havimbi. Aliyekupa wewe kigoda ndio anaewapa wengine makumbi!
 
Wewe una pesa Bakhresa asemeje! Na havimbi. Aliyekupa wewe kigoda ndio anaewapa wengine makumbi!
Huyu fala hamna kitu kuna uzi wake mmoja naomba ushauri wankipona vidonda vya tumbo kwa mbaazi na njegere
 
Sisi tunatafuta kwa jasho na halali ndio maana hatutambi unadhan kila mwanaume n kama wewe mwenye kibabu cha kizungu kinachokupumulia kisogon then kinakupa hela za kuja kusumbua watu maana haujui ht hicho kibabu chako kimetoa wapi hizo pesa anazokuhonga
 
Jf moderators mnaruhusuje thread kama hii. Haina cha kujenga
 
Hebu screenshot hata message ya muamala unaoanzia milion 5 tu ambao umeufanya hivi karibuni tajiri. 😂😂😂
 
Akili huna
 
Tafuta hela masikini wewe
 
Hizi post za tiktok na facebook zimakujaje huku??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…