Ni aibu jitu zima kuwa masikini halafu mtoto kama mimi nina pesa

Hivi inakuaje jitu umri umeenda halina pesa linahangaika tu Kila siku aisee hua nacheka sana yaani jitu hata pesa ya kumhudumia kifamilia chake halina hivi mwanaume kama huyu si lofa maana mtoto wa kiume uwezi ukashindwa kumhudumia mwanamke wako na watoto au mnataka tajiri niwe nawalia wake zenu maana wake zenu wananitumia sms wanaomba pesa sababu wanajua Mimi ni tajiri ngoja niwatunzie wake zenu sababu nyie ni masikini na mtakufa na huo ulofa wa umasikini
Unapima kama nyuma unatundu endelea
 
Ebu Naomba tafsiri ya Tajiri au Maskini?

UKijibu hayo maswali kwa usahihi basi ntakubaliana nawewe kikamilifu
 
Hivi inakuaje jitu umri umeenda halina pesa linahangaika tu Kila siku aisee hua nacheka sana yaani jitu hata pesa ya kumhudumia kifamilia chake halina hivi mwanaume kama huyu si lofa maana mtoto wa kiume uwezi ukashindwa kumhudumia mwanamke wako na watoto au mnataka tajiri niwe nawalia wake zenu maana wake zenu wananitumia sms wanaomba pesa sababu wanajua Mimi ni tajiri ngoja niwatunzie wake zenu sababu nyie ni masikini na mtakufa na huo ulofa wa umasikini

Wewe Kenge ipo siku watu watakuja kukufumua Ubongo ,unatukana watu halafu kutwa kutembea na benz open roof tena bila ulinzi wa aina yeyote halafu mida mibovu...jiangalie wewe mbweha.
 
Tajiri upo jf muda huu , si huwa mnasema "Time is money"? Au mimi ndo sielewi?
 
Tajiri Chief Godlove ombi langu kwako ni kuhusu namba zako za simu kwenye mitandao ya kijamii zionekane vizuri maana nasumbuliwa sana, wafuasi wako huwa wananicheki mimi inakuwa usumbufu kwangu natumia voda 07*6166666 nadhani ushaelewa code ya hapo kwenye *
 
Hivi inakuaje jitu umri umeenda halina pesa linahangaika tu Kila siku aisee hua nacheka sana yaani jitu hata pesa ya kumhudumia kifamilia chake halina hivi mwanaume kama huyu si lofa maana mtoto wa kiume uwezi ukashindwa kumhudumia mwanamke wako na watoto au mnataka tajiri niwe nawalia wake zenu maana wake zenu wananitumia sms wanaomba pesa sababu wanajua Mimi ni tajiri ngoja niwatunzie wake zenu sababu nyie ni masikini na mtakufa na huo ulofa wa umasikini
Umemaliza shule ? Soma kwanza. Wakubwa tuachie yetu
 
Back
Top Bottom