Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 May 25, 2024 #61 T Lucas Mwashambwa said: Nani kakuambia kuwa nipo hapa kutafuta uteuzi wa U DC Click to expand... Tena unautaja japo ya uchawa rasmi kwani umekuwa chawa wa kijikomba kwa kipindi cha kutosha na bado wenzio wanakufungia madirisha😁
T Lucas Mwashambwa said: Nani kakuambia kuwa nipo hapa kutafuta uteuzi wa U DC Click to expand... Tena unautaja japo ya uchawa rasmi kwani umekuwa chawa wa kijikomba kwa kipindi cha kutosha na bado wenzio wanakufungia madirisha😁
G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 May 25, 2024 #62 Bila video clip ni uzushi
N Nyangili Member Joined May 3, 2024 Posts 34 Reaction score 74 May 25, 2024 #63 Lucas hujaweka namba ya simu chini watafanyaje wale wanaotaka kukulipa kwa Mpesa au wakupigie kukupa uteuzi kwa uchawa huu.
Lucas hujaweka namba ya simu chini watafanyaje wale wanaotaka kukulipa kwa Mpesa au wakupigie kukupa uteuzi kwa uchawa huu.
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 May 25, 2024 #64 Lucas Mwashambwa said: Siyo matamanio bali ndio ukweli na uhalisia wenyewe kuwa CHADEMA inaelekea shimoni kwa kasi ya mwanga. Click to expand... Ni kweli maana kuwa nje ya shimo unatakiwq uwe na backup ya vyombo vya dola.
Lucas Mwashambwa said: Siyo matamanio bali ndio ukweli na uhalisia wenyewe kuwa CHADEMA inaelekea shimoni kwa kasi ya mwanga. Click to expand... Ni kweli maana kuwa nje ya shimo unatakiwq uwe na backup ya vyombo vya dola.
L Lumwago JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 767 Reaction score 1,140 May 25, 2024 #65 UMUGHAKA said: Hizi pesa unazoweka Bando kila siku halafu unaishia kuandika Udaku na Ushambenga kwa mambo yasiyokuwa na tija kwa Watanzania,ungekuwa unazituma huko kijijini kwenu tayari ungekuwa umekamilisha banda la kuku ambao wangekutoa kwenye umasikini! Click to expand... Hana hela huyo anahongwa tu Kama hao waliopigana.
UMUGHAKA said: Hizi pesa unazoweka Bando kila siku halafu unaishia kuandika Udaku na Ushambenga kwa mambo yasiyokuwa na tija kwa Watanzania,ungekuwa unazituma huko kijijini kwenu tayari ungekuwa umekamilisha banda la kuku ambao wangekutoa kwenye umasikini! Click to expand... Hana hela huyo anahongwa tu Kama hao waliopigana.
L Lumwago JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 767 Reaction score 1,140 May 25, 2024 #66 Lucas Mwashambwa said: Kwamba kilichotokea mkoani Njombe unakiunga mkono na kuona ni sawa tu? Huoni aibu? Click to expand... Amekuuliza ccm wao wakipigana Sawa! Tena spika
Lucas Mwashambwa said: Kwamba kilichotokea mkoani Njombe unakiunga mkono na kuona ni sawa tu? Huoni aibu? Click to expand... Amekuuliza ccm wao wakipigana Sawa! Tena spika
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 May 25, 2024 Thread starter #67 Nyangili said: Lucas hujaweka namba ya simu chini watafanyaje wale wanaotaka kukulipa kwa Mpesa au wakupigie kukupa uteuzi kwa uchawa huu. Click to expand... Mimi siyo chawa bali ni msema kweli.
Nyangili said: Lucas hujaweka namba ya simu chini watafanyaje wale wanaotaka kukulipa kwa Mpesa au wakupigie kukupa uteuzi kwa uchawa huu. Click to expand... Mimi siyo chawa bali ni msema kweli.
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 May 25, 2024 #68 Lucas Mwashambwa said: Akili zenu CHADEMA mnazijuwa wenyewe.Ni watu msiojitambua .pengine ndio maana ni watu wa mivurugu na mihemuko tu muda wote. Click to expand... kwahiyo wewe unajitambua jinsi ulivo? pia iwe mwisho kuniita chadema mimi
Lucas Mwashambwa said: Akili zenu CHADEMA mnazijuwa wenyewe.Ni watu msiojitambua .pengine ndio maana ni watu wa mivurugu na mihemuko tu muda wote. Click to expand... kwahiyo wewe unajitambua jinsi ulivo? pia iwe mwisho kuniita chadema mimi
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,273 Reaction score 16,705 May 25, 2024 #69 kwani chadema nacho chama cha siasa? kiufupi tz hakuna kitu