Pre GE2025 Ni aibu kubwa sana CHADEMA kupigana ngumi katika Uchaguzi mbele ya Naibu katibu Mkuu wake Benson Kigaila

Pre GE2025 Ni aibu kubwa sana CHADEMA kupigana ngumi katika Uchaguzi mbele ya Naibu katibu Mkuu wake Benson Kigaila

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lucas hujaweka namba ya simu chini watafanyaje wale wanaotaka kukulipa kwa Mpesa au wakupigie kukupa uteuzi kwa uchawa huu.
 
Hizi pesa unazoweka Bando kila siku halafu unaishia kuandika Udaku na Ushambenga kwa mambo yasiyokuwa na tija kwa Watanzania,ungekuwa unazituma huko kijijini kwenu tayari ungekuwa umekamilisha banda la kuku ambao wangekutoa kwenye umasikini!
Hana hela huyo anahongwa tu Kama hao waliopigana.
 
kwani chadema nacho chama cha siasa? kiufupi tz hakuna kitu
 
Back
Top Bottom