Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza Rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇
Inashangaza Rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇
"Kwa hiyo mdogo wangu (Godbless Lema) amerudi ameniambia mama nataka kurudi nikamwambia rudi. Kasema mama nina kesi nikasema nazifuta. Amerudi tunaimarisha siasa si ndiyo? Mwanaume ni yule anayejiamini, mwanamke ni yule anayejiamini,"- Rais Samia Suluhu Hassan.