Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
"Kwa hiyo mdogo wangu (Godbless Lema) amerudi ameniambia mama nataka kurudi nikamwambia rudi. Kasema mama nina kesi nikasema nazifuta. Amerudi tunaimarisha siasa si ndiyo? Mwanaume ni yule anayejiamini, mwanamke ni yule anayejiamini,"- Rais Samia Suluhu Hassan.
Sasa si uende mahakamani? Sasa hapa unamuandikia mama yako au?Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
[emoji116]View attachment 2538542
Sukuma gang on the beat! 2025 mtafika mkiwa hamjui mshike lipi na muache lipiShida huyu mama huwa hajui madhara ya anayoongea hadharani. Anadhani anajenga leo kumbe anaharibu kesho.
Kipindi fulani alikuwa anajikanyaga BBC mpaka washauri wake wakamzuia kuhojiwa na vyombo vya habari.
Pengine huwa hajui anaongea nini? Yupo yupo tu. Hajui Donts na Dos za nafasi nyeti kama hiyo.
Kosa langu nini kamanda? Kuhoji mil 898 za ruzuku?Sasa si uende mahakamani? Sasa hapa unamuandikia mama yako au?
Mfundisheni sasaShida huyu mama huwa hajui madhara ya anayoongea hadharani. Anadhani anajenga leo kumbe anaharibu kesho. Kwamba ana uwezo wa kumtengenezea mtu kesi kama alivyofanya kwa Sabaya na kumfutia anayetaka kama alivyofanya kwa lema na mbowe.
Kipindi fulani alikuwa anajikanyaga BBC mpaka washauri wake wakamzuia kuhojiwa na vyombo vya habari.
Pengine huwa hajui anaongea nini? Yupo yupo tu. Hajui Donts na Dos za nafasi nyeti kama hiyo.
Si ni nyie mlikuwa mnasema hamuitaki katiba mpya? Subirini iingie vizuriShida huyu mama huwa hajui madhara ya anayoongea hadharani. Anadhani anajenga leo kumbe anaharibu kesho. Kwamba ana uwezo wa kumtengenezea mtu kesi kama alivyofanya kwa Sabaya na kumfutia anayetaka kama alivyofanya kwa lema na mbowe.
Kipindi fulani alikuwa anajikanyaga BBC mpaka washauri wake wakamzuia kuhojiwa na vyombo vya habari.
Pengine huwa hajui anaongea nini? Yupo yupo tu. Hajui Donts na Dos za nafasi nyeti kama hiyo.
Rais hayupo juu ya katiba.Yaani nilishangaa kwa kweli,ila ndo katiba yetu. Rais yupo juu ya kila kitu.
Hii taarifa umeipata wapi?Kosa langu nini kamanda? Kuhoji mil 898 za ruzuku?
Mmeshasahau alichowafanya Magufuli ?Rais hayupo juu ya katiba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashabiki wa Man U tuna jazba sana, ila JFSasa si uende mahakamani? Sasa hapa unamuandikia mama yako au?
Unapotea sana siku hizi; not healthy.Yaani nilishangaa kwa kweli,ila ndo katiba yetu. Rais yupo juu ya kila kitu.
Nipo,itakuwa tunapishana tu humu.Unapotea sana siku hizi; not healthy.
Haaaa haaa, hapa hutosikia risu Wala mbowe Wala ubalozi wowote wakisema mahakama haziko huru.Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
πView attachment 2538542
π€©π€©[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashabiki wa Man U tuna jazba sana, ila JF