MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Jipeni moyo huku akiangamia mdogo mdogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanaume real hafutuwi kesi, Mwanaume anashinda kesi hiyo ndiyo tofauti.
Sabaya will rise like a phoenix!
Argue for and against plzNimeona kuna shinikizo la kutaka Ole Sabaya naye afutiwe Kesi kama walivyofutiwa Mbowe, Lisu na Lema
Tunakumbushana tu kwamba Kesi ya Lengai Ole Sabaya Siyo ya Kisiasa
Barikiwa sana!
Kwa kweli, Sabaya ni jitu la hovyo, mama alipoenda kumpatanisha na mghwira, eti likamfyonza, likasema linaongea na top sio SSH, upanga wenye makali kuwili ukamfyeka JPM, sterling aliyefyonzwa akakabidhiwa saitiNimeona kuna shinikizo la kutaka Ole Sabaya naye afutiwe Kesi kama walivyofutiwa Mbowe, Lisu na Lema
Tunakumbushana tu kwamba Kesi ya Lengai Ole Sabaya Siyo ya Kisiasa
Barikiwa sana!
Jo wakati wakati unatema nondo,🤔.Bila shaka zake zinaweza kuwa unyang'anyi,rushwa,kudhuru,na hata wizi,yote haya hakuna hata chembe ya siasa ndani yake 🤔Nimeona kuna shinikizo la kutaka Ole Sabaya naye afutiwe Kesi kama walivyofutiwa Mbowe, Lisu na Lema
Tunakumbushana tu kwamba Kesi ya Lengai Ole Sabaya Siyo ya Kisiasa
Barikiwa sana!
Nimemsikia Lissu akikanusha space, Lema alisikika tarehe 1 march.Ngoja niifanyie utafiti
Ule ulikuwa ugaidi wa kisiasa, ukiasisiwa Pale Rau madukani kwa muuza mbege na akina chawa wa aw5.😂Mbona mbowe alikuwa na kesi ya kigaidi ambayo ni hatari kuliko zote
Sasa mnatakiwa mshikilie hapo kwenye kutaka mahakama ziwe huru na kutenda haki na sio kutafuta haki kwa kuingilia mahakama.Mahakama zilishapiteza uwezo wake wa kutenda haki, hapo zilipo zinasubiri waliozipotezea uwezo wa kutenda haki ziwaagize waanze kutenda haki.
Kesi ya Lengai Ole Sabaya ni ya KISIASA iliyochagizwa kwa chuki za watu aliokabiliana nao katika uharifu. Kesi ya Lengao Ole Sabaya imeshinikizwa na baadhi ya wafanyabiashara huko Kilimanjaro na Arusha na ushahidi upo walikuwa wakijirekodi kwenye video wakidai mali za kuporwa au kuharibiwa wakimtaka rasi SSH awasaidie kumshitaki pamoja na kufidiwa.Nimeona kuna shinikizo la kutaka Ole Sabaya naye afutiwe Kesi kama walivyofutiwa Mbowe, Lisu na Lema
Tunakumbushana tu kwamba Kesi ya Lengai Ole Sabaya Siyo ya Kisiasa
Barikiwa sana!
Watanzania Gani wanadanganywa kwa sabaaya alikuwa anaenda kufanya uhalifu mkoa mwingine unadhani wakuu wengine wa wilaya walikuwa wanafurahi tabia za sabaaya alikuwa anadharau sana mkuu was mkoa wake ngwiraa alikuwa amemwonya mara. Nyingi shauri yakeTunaendelea kudanganya watanzania mpaka lini??
Mbowe alihukumiwa gaidi na kukutwa na kesi ya kujibu, yuko uraiani anakunywa zake konyagiMahakama ilimhukumu Sabaya ni Jambazi.
Asubiri Msamaha wa wafungwa.
Ni tuhuma ipi imethibitika juu yake??Watanzania Gani wanadanganywa kwa sabaaya alikuwa anaenda kufanya uhalifu mkoa mwingine unadhani wakuu wengine wa wilaya walikuwa wanafurahi tabia za sabaaya alikuwa anadharau sana mkuu was mkoa wake ngwiraa alikuwa amemwonya mara. Nyingi shauri yake
Hiyo big corruption imefanyika wapi kipindi cha Samia?Time will tell, huko mbele chuki kubwa itakuja dhidi ya Samia, kuna watu wata feel used kwa sababu ni ukweli kwamba wanatumika ili kumfikisha salama safari yake ya uraisi na kuficha maovu yote na big corruption inayoendelea nchini na haina uhusiano wowote ule na Siasa za kibabe au kizamani, ni swala la muda tu.
Mwanaume real hafutuwi kesi, Mwanaume anashinda kesi hiyo ndiyo tofauti.
Sabaya will rise like a phoenix!
Nisaidie tafadhali njia kisheria ambazo mtuhumiwa anaweza zitumia kumzuia DPP kumfutia mashaka mtuhumiwa Ili case iende Hadi mwisho.Mwanaume real hafutuwi kesi, Mwanaume anashinda kesi hiyo ndiyo tofauti.
Sabaya will rise like a phoenix!
Ww ulipokuwa unafanyika uhuni mbona hukusisitiza mahakama zitende haki? Kama mahakama zimeamua kutumikia siasa chafu acha iwe hivyo hivyo mpaka jeshi litakapopindua hawa wahuni.Sasa mnatakiwa mshikilie hapo kwenye kutaka mahakama ziwe huru na kutenda haki na sio kutafuta haki kwa kuingilia mahakama.
Kesi ya Lengai Ole Sabaya ni ya KISIASA iliyochagizwa kwa chuki za watu aliokabiliana nao katika uharifu. Kesi ya Lengao Ole Sabaya imeshinikizwa na baadhi ya wafanyabiashara huko Kilimanjaro na Arusha na ushahidi upo walikuwa wakijirekodi kwenye video wakidai mali za kuporwa au kuharibiwa wakimtaka rasi SSH awasaidie kumshitaki pamoja na kufidiwa.
Siasa ndio chanzo cha makosa ya kijinai maana ndio wahamasishaji wakubwa na wakiukwaji wa taratibu na sheria za nchi.
Sababu kuu zinaelezwa hapa chini
Without prejudice of the facts that cause crimes such as assault, grand theft auto, and some homicide cases are not considered political crimes
1. Political offenses include crimes against the state (e.g., insurrection, terrorism, sedition) and by the state (i.e., illegal or unethical acts by political figures). More common forms include bribery, ethical misconduct, election manipulations, graft, nepotism, looting, and misuse of financial resources
2. Political crimes typically arise from political disturbances and perceived unfairness from the government or state. Since a crime must be a direct attack against a state or government,
3. The Crime Triangle identifies three factors that create a criminal offense.
i. Desire of a criminal to commit a crime;
ii. Target of the criminal's desire; and
iii. the Opportunity for the crime to be committed.
4. Examples of political crimes are bribery, sedition, perjury, human rights violations, treason, espionage, theft, and whistleblowing.
5. Crime and the political process are linked on many levels. Political theory, ideology, and culture foster expectations about the substance and form of the criminal justice system. The structure of political institutions shapes the structure, and hence the substance and administration, of the criminal law
* A political crime is therefore a violation of the law or of the public peace for political advancement rather than private reasons. specifically: one directed against a particular government or political system to undermine or sabotage personal or group projected goals.
KITANZANIA Kisicho rasmi
Bila kuathiri ukweli unaosababisha uhalifu kama vile shambulio, magari makubwa ya wizi, na baadhi ya kesi za mauaji hazichukuliwi kama uhalifu wa kisiasa isipokuwa vinginevyo zinahusishwa moja kwa moja na hatua za viongozi wa kisiasa na ushahidi mkubwa na wa haki kuthibitisha kuhusika kwa watuhumiwa na hatimaye kupatikana na hatia katika mahakama ya sheria kwa kufuata mchakato wa haki jinai.
1. Makosa ya kisiasa ni pamoja na uhalifu dhidi ya dola (kwa mfano, uasi, ugaidi, uchochezi) na kwa dola (yaani, vitendo visivyo halali au visivyo vya kimaadili vinavyofanywa na wanasiasa). Aina za kawaida ni pamoja na rushwa, utovu wa maadili, udanganyifu katika uchaguzi, rushwa, upendeleo, uporaji, na matumizi mabaya ya rasilimali fedha
2. Uhalifu wa kisiasa kwa kawaida hutokana na vurugu za kisiasa na kuonekana kutokuwa na haki kutoka kwa serikali au dola. Kwa kuwa uhalifu lazima uwe shambulio la moja kwa moja dhidi ya serikali au serikali,
3. Pembetatu ya Uhalifu inabainisha mambo matatu yanayounda kosa la jinai. i. Tamaa ya mhalifu kufanya uhalifu; ii. Mlengwa wa tamaa ya mhalifu; Na iii. Fursa ya uhalifu kufanyika.
4. Mifano ya makosa ya kisiasa ni rushwa, uchochezi, ubadhirifu, ukiukwaji wa haki za binadamu, uhaini, ujasusi, wizi na ufichuzi wa makosa ya viongozi dhidi ya rasilimali za nchi.
5. Uhalifu na mchakato wa kisiasa unahusishwa katika ngazi nyingi. Nadharia ya kisiasa, itikadi, na utamaduni hukuza matarajio juu ya kiini na aina ya mfumo wa haki ya jinai. Muundo wa taasisi za kisiasa unaunda muundo, na hivyo kiini na utawala, wa sheria ya jinai. Aina za kawaida za uhalifu wa kisiasa ni pamoja na rushwa, utovu wa maadili, udanganyifu katika uchaguzi, upendeleo, uporaji, utakatishaji fedha, uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya rasilimali fedha kwa maslahi binafsi
*Kwa hiyo uhalifu wa kisiasa ni ukiukwaji wa sheria au amani ya umma kwa maslahi ya kisiasa badala ya sababu binafsi. hasa: moja iliyoelekezwa dhidi ya serikali au mfumo fulani wa kisiasa ili kudhoofisha au kuhujumu malengo binafsi au kikundi yaliyokadiriwa kufikiwa.
Kwani kesi zake ni za madai ya mkopo? Hebu leta ushahidi wa kesi yoyote ya madai ya mkopo.Tuombe Mungu rais wetu atajua mantiki ya anachokitamka kwenye midomo yake. Ni kama ameamrishwa kusema mtangulizi wake hakuwa sahihi kwa lolote lile na kwamba walioshtakiwa kwa makosa ya jinai au madai katika awamu iliyomtangulia walishtakiwa kwa maelekezo ya mtangulizi wake. Nilidhani mashtaka yangeendelea ushahidi usindetosheleza washtakiwa wangeshinda kesi tena kwa kulipwa gharama za mahakama. Leo mtu anayedaiwa mkopo unafuta kesi yake ili iweje? Kweli TZ tumefikia huku eti kufuta lecacy ya JPM? Tumelogwa tumelogwa kweli tumelogwa.
Kama kawa analamba asali.Mbowe alihukumiwa gaidi na kukutwa na kesi ya kujibu, yuko uraiani anakunywa zake konyagi