Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Huyo DPP ni mteule wake, anapiga simu moja na kesi zote zinafutwa
 
DPP anatakiwa kuwa na uwezo wa kumkatalia rais kama rais akitaka kufuta kesi kijinga au kisiasa bila mantiki.

Sasa hapa inaonekana DPP anapangiwa kufanya kazi na rais, rais anatoa agizo kufuta kesi, kaingilia kazi ya DPP.

Yule alitaka kuwa IGP, huyu kawa DPP.
 
DPP ni mteule wa Rais, Rais pia ndio anateua majaji na DPP mara nyingi huwa jaji anapotoka katika hiyo nafasi. Usisahu Rais anateua wote bila vetting yoyote ya bunge pia hivyo sio rahisi kuteua watu ambao watamleta ugumu kwenye matakwa yako.
 
Ingekuwa kipindi cha jpm kelele zingekuwa kubwa kuanzia ubeligiji kanada kishumumdu Nronga kuwa jamaa ni diktata
 
Samia huwa hajui anaongea nini. Namnukuu kaka yake samia" baba akiamka leo atashangaa kusikia samia ni rais"
 
Hapo ndio utagundua ubovu wa katiba yetu na kwanini CHADEMA wanapigania kwa nguvu zote tuwe na katiba mpya. Hayo ni machache sana, kuna mengi mabovu kwa katiba tuliyonayo mfano tume ya uchaguzi inapokea maelekezo kutoka kwa rais, unategemea nini. Wote mnakumbuka viroja vya uchaguzi mkuu 2020. Uozo mtupu, jamani tupiganie katiba mpya!
 
MImi nashangaa wanao lalamika kurudi kwa mh. Lema Ni chadema wenzake.. naona wanajipinga wao kwa wao
 
Upuuzi tu kipindi watu wanabambikiwa kesi wangeandika pia!! Haya magazeti ya kufungia tu maandazi hamna chochote!!

Kama kuna anasomaga hivi vikaratasi bado inabidi ajitafakari sana IQ yake maana waandishi wake kichwani hamna kitu!!
Jebra ni kamanda mwenzenu
 
Nauliza lemma alibambikwa kesi gani mpaka kuomba hifadhi huko nje in the name of "mkimbizi wa kisiasa"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…