Ni aibu kwa taifa letu kumuona Prof Abdulrazak Gurnah kama shujaa wa taifa letu, wakati huko nyuma hajawahi kutambuliwa kwa kazi alizofanya

Aliondoka late 1960's! Jana nilihoji ikiwa by the late 1960's, kulikuwa na security risk kwa kijana mdogo ambae hakuwa mwanasiasa. I know by that time, vijana wengine kama akina SAS walikuwa kwenye hiyo risk na ndo maana Mwalimu akamtupa ubalozini!

Conclusion yangu, Mwamba alitumia janja ile ile ya Watanzania na kwingineko Afrika... kwamba unazamia mbele kwa gia ya ukimbizi na Wazanzibari wanatumia sana hii mbinu,!!

Mwaka juz Makonda alipoanza ku-deal na mashoga, nilipata issue za Wazanzibari wawili walioingia Marekani kwa hoja kwamba maisha yao yapo hatarini kwa sababu ya wao kuwa mashoga. Na hapa ninapoongea, jamaa wote wawili wanakula pesa ya Joe Biden Unyamwezini!

All in all, hadi kesho, pamoja na kuchimba sana lakini sijaona popote ambapo Abdulrazak Gurnah kutajwa kama Mwingereza. Sources zote zinamtaja kama Mtanzania au Zanzibar-born based in UK!

Na lingine ambalo watu hawalifahamu ni kwamba, sio kwamba jamaa baada ya kutoka ZNZ hakuwahi kurudi tena bali back 1984, ndipo kwa mara ya kwanza alirudi ZNZ tangu alipoondoka!!

Tukija kwa mleta mada.... hili jambo linakuzwa sana! Hivi hao akina Samia hata wakisema "alisoma kwa kodi zetu" kwani Wabongo mnapungikiwa nini? Mbona tunapend kujihangaisha na mambo madogo madogo sana?!!

Lakini kwa upande mwingine, asikudanganye... Nobel Prize ni tuzo inayoheshimika sana duniani na ndo maana media kubwa karibu zote duniani, zimeruka na hii issue zaidi ya mara moja!!

]Kwahiyo sioni tatizo lolote akina SSH wakiteleza na ganda la ndizi... that's how the world work! Au mnataka Wakenya waanze kusema jamaa ni Mzaliwa wa Lamu, na alienda mbele akitokea Mombasa? You know they're good at it....
Hivi una akili timamu? Nchi zote duniani zinathamini raia wao hasa ambao wanaonyesha kuwa na mchango mkubwa katika jamii. Prof Gurnah amefundisha huko Kent Uni toka mwaka 1982 hatukusikia hata wizara ya mambo ya nje ikisema kuna mtanzania makini anafumsisha huko Kent Uni basi aalikwe hata University yoyoye kuja kuongea. Leo hii baada ya kupata tuzo ndio iwe fahari ya taifa?

Tumia akili we mpuuzi. Hoja kubwa ni kuthamini michango ya watanzania kwa taifa lao.
 
Memory of Departure (1987), grapple with betrayals and broken promises on the part of the state or those in power, and focus on people who leave home in search of better lives.

[emoji115][emoji115][emoji115] Hiko siyo kizaramo.
As i told you any Swahili book if available.

Read my comment again there above.

Why i asked not to mention one among of their English books!?!!
 
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.

Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.

Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
Shamba likikutwa na bangi ni lako. Ilalikikutwa na madini ni mali ya serikali.
 
Ikikutwa bangi kwenye shamba lako ni yako na kesi inakuhusu. Pakikutwa madini ni ya serikali na wewe huna chako. Halkadhalika kama jamaa angetajwa kwa ugaidi usingesikia kupe hata mmoja kuongea. Lakini kwa vile ni tuzo basi kila mwenye kuweza kuongea anammwagia sifa. Utasikia kuna mpaka ambao watajitokeza kuwa walisoma nae.
 
Nashindwa kuwaelewa watanzania kwa sasa.Wengi hamueleweki kabisa mnachoongea .Sasa nashindwa kuelewa ,kuwa hizi Nazi ni siasa au nikuilamu tu serikali?Huyo jamaa ,kaandika particular s zake mwenyewe kuwa ni mtanzania.Kawapa hao jamaa wa NOBEL .Ameshinda tuzo.Jamaa hao wa NOBEL wamtangaza wao wenyewe kupitia BBC ,Aljazeera kuwa mtanzania kashinda NOBEL ya literature. Je, tatizo la serikali lipo wapi ?Kama MTU kajileta mwenyewe na kusema ni mtanzania ,serikali imkatae ?Nendeni mmulaumu huyo Prof ,kwann anawapa serikali ujiko ,kuwa ni mtanzania. Serikali haina kosa.
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.

Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.

Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
 
Hakuna kitabu alichoandika kwa Kiswahili, japo lugha yake 'mama' ni Kiswahili.

[emoji116][emoji116][emoji116]

He began to write as a 21-year-old refugee in England, choosing to write in English, although Swahili is his first language.
Hata kama angekuwa ni Mtanzania bila kuwa na angalau kitabu kimoja cha lugha yake mama, Basi hata uzalendo wake ungekuwa na walakini.
 
Aliondoka late 1960's! Jana nilihoji ikiwa by the late 1960's, kulikuwa na security risk kwa kijana mdogo ambae hakuwa mwanasiasa. I know by that time, vijana wengine kama akina SAS walikuwa kwenye hiyo risk na ndo maana Mwalimu akamtupa ubalozini!

Conclusion yangu, Mwamba alitumia janja ile ile ya Watanzania na kwingineko Afrika... kwamba unazamia mbele kwa gia ya ukimbizi na Wazanzibari wanatumia sana hii mbinu,!!

Mwaka juz Makonda alipoanza ku-deal na mashoga, nilipata issue za Wazanzibari wawili walioingia Marekani kwa hoja kwamba maisha yao yapo hatarini kwa sababu ya wao kuwa mashoga. Na hapa ninapoongea, jamaa wote wawili wanakula pesa ya Joe Biden Unyamwezini!

All in all, hadi kesho, pamoja na kuchimba sana lakini sijaona popote ambapo Abdulrazak Gurnah kutajwa kama Mwingereza. Sources zote zinamtaja kama Mtanzania au Zanzibar-born based in UK!

Na lingine ambalo watu hawalifahamu ni kwamba, sio kwamba jamaa baada ya kutoka ZNZ hakuwahi kurudi tena bali back 1984, ndipo kwa mara ya kwanza alirudi ZNZ tangu alipoondoka!!

Tukija kwa mleta mada.... hili jambo linakuzwa sana! Hivi hao akina Samia hata wakisema "alisoma kwa kodi zetu" kwani Wabongo mnapungikiwa nini? Mbona tunapend kujihangaisha na mambo madogo madogo sana?!!

Lakini kwa upande mwingine, asikudanganye... Nobel Prize ni tuzo inayoheshimika sana duniani na ndo maana media kubwa karibu zote duniani, zimeruka na hii issue zaidi ya mara moja!!

]Kwahiyo sioni tatizo lolote akina SSH wakiteleza na ganda la ndizi... that's how the world work! Au mnataka Wakenya waanze kusema jamaa ni Mzaliwa wa Lamu, na alienda mbele akitokea Mombasa? You know they're good at it....
Ni mtanzania? Jibu ni hapana, siyo mtanzania ila ana asili ya Tanzania. Media nyingi zimeandika ni mtanzania kwa nini? Media nyingi zilizoripoti hii habari ni media za nchi zilizostaarabika. Nchi zilizostaarabika zinajua kuwa uraia wa mtu hauwezi kufutika kwa yule mtu kupata uraia wa nchi nyingine. Ndiyo maana hata mtanzania anapopata uraia wa hizi nchi, kwenye database yao wanaweka ni raia wa ile nchi na pia ni raia wa Tanzania. Je, Tanzania inaamini hivyo? Hapana! Tanzania wanasema ukipata uraia wa nchi nyingine huwezi tena kuwa mtanzania. Cha kushangaza: Mbona wanang'ang'ania ni mtanzania?
 
Nashindwa kuwaelewa watanzania kwa sasa.Wengi hamueleweki kabisa mnachoongea .Sasa nashindwa kuelewa ,kuwa hizi Nazi ni siasa au nikuilamu tu serikali?Huyo jamaa ,kaandika particular s zake mwenyewe kuwa ni mtanzania.Kawapa hao jamaa wa NOBEL .Ameshinda tuzo.Jamaa hao wa NOBEL wamtangaza wao wenyewe kupitia BBC ,Aljazeera kuwa mtanzania kashinda NOBEL ya literature. Je, tatizo la serikali lipo wapi ?Kama MTU kajileta mwenyewe na kusema ni mtanzania ,serikali imkatae ?Nendeni mmulaumu huyo Prof ,kwann anawapa serikali ujiko ,kuwa ni mtanzania. Serikali haina kosa.
Wewe ndiyo unatakiwa usieleweke. Nikuulize: huyu pro. ni mtanzania kwa mujibu ya sheria za Tanzania?
 
Halafu usisahahu kuwa alikwenda uingereza kama "mkimbizi" siyo mhamiaji au mzamiaji!!
Siku Lisu au Lema akishinda tuzo za mabeberu nategemea serikali yetu tukufu itoe pongezi pia
 
Hata kama angekuwa ni Mtanzania bila kuwa na angalau kitabu kimoja cha lugha yake mama, Basi hata uzalendo wake ungekuwa na walakini.
🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unajua unaweza kukaa kimya na ukaonekana una akili kuliko kusema ujinga ambao unakufanya uonekane nanga? Kuandika kitabu kwa kiswahili ndiyo uzalendo? 🤣
🤣 🤣 🤣
 
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.

Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.

Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
Kwani ndio nani huyu?
 
NI MWENDELEZO WA TABIA ZA KINAFIKI ZA AWAMU YA 5....kila kitu utasikia kwa jitihada za magufulu....na sasa wanaendelea mama katoa hela mama katoa hela....unafiki nafiki tuuuuu kila kuchwapo......sasa wameanza siasa za huyu prof. mwingereza hata kumjua hawamjui kina msigwa mipovu tuuu ili mradi kutetea nafasi zao hata kwenye uwongo. aibu, aibu tu
 
hingera sana kwa shujaa huyu wa tanzaniaa ama kwa hakika safar ua #UNGA imeanza kuonesha matunda ya tanzania kufunguka kimataifa.na hii ppia imeongeza uwekezej umefunguka.kazi iendelee
 
Hata kama angekuwa ni Mtanzania bila kuwa na angalau kitabu kimoja cha lugha yake mama, Basi hata uzalendo wake ungekuwa na walakini.
Ila mkuu no offense, una kiwango kikubwa cha uzwazwa.

Yaani kuandika kitabu kwa lugha ya kiswahili kwako ndio uzalendo,? Hakika hayati aliacha' sumu' kali sana kwenye baadhi ya 'bongo' za watu.
 
Ni kweli huyu Prof ni mtu mwenye asili ya Tanzania visiwani na amekuwa akifundisha University of Kent tangu mwaka 1982. Amendika vitabu vingi tu lakini sijawahi kusikia serikali yetu ya Tanzania ikijisifu kuwa kuna mtanzania anafanya kazi nzuri za fasihi huko Uingereza. Sijawahi kusikia hata hapa nyumbani jina lake likitajwa.

Leo hii baada ya kushinda tuzo ya Nobel upande wa fasihi naona kila kiongozi wa serikali anataka kutuaminisha kuwa Prof Gurnah ni shujaa wa Tanzania.

Kama ni shujaa wa taifa letu mbona huko nyuma hamkumtambua? Mbona hamjawahi kuthamini kazi zake?
Hata shuleni hakuna kitabu chake hata kimoja wanafunzi wanasoma kwenye literature, ni unafki wa kiwango Cha juu sana
 
Back
Top Bottom