Ni aibu Kwa timu kama Simba kutamba na mashindano ya shirikisho

Unatuletea historia hapa ya miaka 50 iliyopita unajielewa kweli wewe,,tuonyeshe basi iyo medali ya mwaka 1974,,
Wewe ni mjinga usiyejua lolote kuhusu mpira.Medali unazolilia ndio kikombe?Kuna bingwa anapewa medali tu imekuwa riadha?Historia ni sehemu ya mpira.Uruguay ndio waliochukua kombe la kwanza la Dunia kwa ujinga wako utasema isiwepo kwenye kumbukumbu.Hoja ilikuwa nusu fainali ya,Klabu bingwa ya,Afrika,hiyo timu yako imefika lini nusu fainali ya Champions League?
MC Alger ndio wameleta hizi kelele na jazba na visingizio.Unarukia hoja nyingine kwani kichaka cha rankings ulichoanzisha kimekufa rasmi.Ngojea msimu ujao.
 
Acha watambe tu, kuna shida gani? Ulitaka watolewe mapema?
Yanga muwe mnakubali matokeo ndiyo mtapata unafuu, hizi habari za kutafuta vichuguu vya kusimamia kuibekana bado upo inazidi kvuruga mbongo. Kwani tukiwaspongeza halafu tukawaacha waendelee na furaha yao tutapungukiwa nini?
 
Kama imewauma si mchomoe tu
 
Fikeni fainali tuone kama wenzenu otherwise fungeni midomo msijilinganishe na waliocheza fainali
Wanafungaje mdomo wakati wameshinda?
Mliofungwa ndio mfunge mdomo.
Muache kelele maana mnajitia aibu tu.
 
Unarukia hoja nyingine kwani kichaka cha rankings ulichoanzisha kimekufa rasmi.Ngojea msimu ujao.
Na hata siyo msimu ujao ni mpaka misimu miwili ijayo maana ranking aliyokuwa anaota kwanza siyo ya msimu huu.

CAF ranking ya msimu inaangalia miaka 5 nyuma ambayo haijumuishi takwimu za msimu wa mwaka huo. Kwa maana hiyo, ranking ya msimu huu inaangalia takwimu za hadi msimu uliopita.

Hizi takwimu za mechi za msimu huu zinaenda kutengeneza ranking ya msimu ujao ambapo kwanza Uto anaweza kwenda kushuka zaidi hata ya alipokuwa msimu huu maana Al Hilal, ASEC na Pyramids wote wanampumulia uto kisogoni na Orlando Pirates ni wa moto msimu huu wanaweza kufika mbali sana.

Kwa hiyo matumaini pekee ambayo wanatakiwa wawe nayo ni misimu miwili mbele na ikifika wakati huo kina Aucho, Chama, Mkude, Pacome, Dube, Mwamnyeto, Diarra watakuwa wanacheza mpira na mikongojo.
 
Daaah! Husda inakutesa sana ndugu..... we inakuuma nini kwani? Time yako imetoka kwenye mashindano... piga kimya....
 
Kwahiyo mlikuwa mnagombania kombe la group stage
 
Mnafungua midomo wakati mmezidiwa kitakwimu,,wenzenu fainali nyie mwakarobo mnajilinganishaje?
Takwimu zipi?Umeingia fainali na kufungwa na kwenye ranking za CAF upo chini ya Simba na haupo hata kwenye 10 bora.Takwimu hizo ni zipi?Au hujui unaloandika?Umepatwa na Post Traumatic Stress Disorder.Tafuta tiba haraka.Naona waarabu wamekuathiri kiafya.Mwakakundi.
 
Simba: Wamechukua wakaweka waaa.

Utoo: Wamechukua wameka twaaas
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/groups/1517781355034527/permalink/3858385890974050/
 
Hao kawaida Yao kutamba
Walitamba pia walipobeba Mapinduzi cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…