Ni aibu Kwa timu kama Simba kutamba na mashindano ya shirikisho

Mkiwa mnashiriki nyie ni mashindano makubwa,wakiwa wanashiriki simba aah ni mashindano madogo,mashindano ya looser n.k mnayapa majina mabaya ila sisi na wakubwa wenzetu kama Zamalek,Berkane tumetulia zetu.
 
Reactions: Tui
Copco ni timu ya mpira haipo shirikisho yaani UMISETA
Masikini yani umepigwa spana hadi umepoteana umeamua kuandika pumba sasa kwahiyo copco imekuwa timu bora kwa sababu haishiriki cafcc aise hebu acha kuwavua nguo mashabiki wenzako wote wakaonekana ni wapumbavu, unasema yanga ni timu kubwa ndio maana hatuamini kama imeishia makundi wakati huo huo kichwa cha uzi wako kinasema "ni aibu timu kama simba kutamba na mashindano ya shirikisho" maana yake hata ninyi mnajua simba ni timu kubwa ndio maana mnaona hawastahili kutamba na mashindano haya, na nikukumbushe tu hapo walipo simba bado wanajenga timu kufika robo fainali ya caf ukiwa na first eleven iliyojaa wachezaji wapya siyo kazi ndogo ninyi mkiwa na kikosi bora kabisa huku mna striker kama mayele mlishindwa kubeba hilo kombe mkaishia chukua medali laiti mngekuwa mnajenga timu kama simba nawahakikishia hata hiyo robo ya shirikisho msingeinusa..yani bora mngekaa kimya tu hivi mnavyozidi kujitetea ndio mnazidi kujivua nguo kuonesha kuwa yanga bado ni underdog sababu hata ikiwa kwenye peak ya mafanikio na kikosi bora bado haiwezi kufika mbali kimataifa ilihali simba ina uwezo wa kufika mbali hata ikiwa na kikosi kibovu cha mpira papatu papatu!!
 
Mkiwa mnashiriki nyie ni mashindano makubwa,wakiwa wanashiriki simba aah ni mashindano madogo,mashindano ya looser n.k mnayapa majina mabaya ila sisi na wakubwa wenzetu kama Zamalek,Berkane tumetulia zetu.
Hao Zamalek na Berkane wameshawahi kulibeba hilo kombe wewe hata nusu haujawahi fika cheza hata fainali au beba kabisa kombe ndio utaweza kujiita mkubwa ikiwa kila anaeishia robo atajiita mkubwa na aliyecheza fainali ajiite nani
 
Eti simba inajenga timu kwa hiyo ilibomolewa timu imeanzishwa 1936 huko eti leo inajengwa mbona Al Ahly Zamalek Mamelod nk hatujawahi sikia wanajenga timu
 
Hujui mbumbumbu wako huko 5imba wapo wanaufurahia robo ya shirikisho 🤣
Ila wewe kenge unajitahidi kujifariji na timu lako bovu ambalo utalishangilia litakapokuwa linashiriki kombe la shirikisho la TFF dhidi ya akina Mbuni FC, Mbagala Market. Si unaita CAF shirikisho ya wamama , Sasa Sisi tutafyeka kichaka cha wamama kuchukua medali ya hayo mashindano.
 
Eti simba inajenga timu kwa hiyo ilibomolewa timu imeanzishwa 1936 huko eti leo inajengwa mbona Al Ahly Zamalek Mamelod nk hatujawahi sikia wanajenga timu
Unaelewa maana ya kujenga timu kunakozungumziwa hapa au umeamua tu kuleta mihemko yako, kwa mtu anayejua mpira anaelewa nini maana ya wachezaji kuwa na chemistry kubadili asilimia 90 ya kikosi na kufika hatua hiyo siyo kazi rahisi na hapo ndipo timu inapodhihirisha ukubwa wake, yanga ingebadili kikosi kama simba isingefika hapo simba ilipo uzuri ushahidi mnao kipindi kile yanga mbovu inatembeza bakuli tuambieni kimataifa ilifika wapi na hata sasa inavyojinasibu ina kikosi bora tuambie huko kimataifa imefika wapi
 
Mnajenga timu kwani Simba ni Ken Gold au Pamba Jiji kwamba zimepanda daraja mwaka huu, usajili iliofanyika ni kuboresha kikosi

Tofautisha group stage ya CAFCL na quarter final ya mashindano yenu ya akina mama
 
Yes sisi ni wapinzani wa jadi na tunapaswa kutaniana,ila ukweli nikwamba kutoshinda game ya juzi tena home imekuwa disappointing sana kwetu mashabiki,hasa kama ulibahatika kuwepo uwanjani, utakuwa uliona mixed feelings baada ya mechi.Mikia lazima wafurahi kwasababu wao ni kama wanatengeneza timu na hawakutarajia hata kufika hapo.
 
Ni mchezo kamanda
 
Huna hoja Utopolo. Shabiki huwa wanafurahia pindi timu inaposhinda na sio suala la kutarajia. Kwani Utopolo mnapotarajia kushinda dhidi ya akina Namungo huwa hamfurahi mkishinda?

CAF champions ni ngumu lakini sio Kwa kundi mlilokuwa. Ndani ya misimu mitano iliyopita Al hilal hakuwahi kuingia robo achilia mbali kuongoza kundi.Alikuwa anaishia nafasi ya tatu au nne. Lakini alipokutana na akina Utopolo ameongoza kundi, hii inaonyesha kwamba timu yenu ni very very underdog Kwenye mashindano makubwa.
 
Reactions: Tui
Mnajenga timu kwani Simba ni Ken Gold au Pamba Jiji kwamba zimepanda daraja mwaka huu, usajili iliofanyika ni kuboresha kikosi

Tofautisha group stage ya CAFCL na quarter final ya mashindano yenu ya akina mama
We endelea kujitoa ufahamu tu, ila hoja hapa ni kwamba mahali ambapo yanga inafika ikiwa na kikosi bora simba inafika ikiwa na kikosi kibovu je hiyo maana yake nini, ukibisha njoo na hoja na mifano
 
We endelea kujitoa ufahamu tu, ila hoja hapa ni kwamba mahali ambapo yanga inafika ikiwa na kikosi bora simba inafika ikiwa na kikosi kibovu je hiyo maana yake nini, ukibisha njoo na hoja na mifano
Asec mimosa kila mwaka wanauza wachezaji tena wale walio katika viwango bora kabisa na husajiri upya na wala hawajawahi kuja na visababu vya kujenga timu
 
We endelea kujitoa ufahamu tu, ila hoja hapa ni kwamba mahali ambapo yanga inafika ikiwa na kikosi bora simba inafika ikiwa na kikosi kibovu je hiyo maana yake nini, ukibisha njoo na hoja na mifano
Simba haina kikosi kibovu, wewe ndo akili yako mbovu
 
Ni upuuzi tu!!! Kwa nini unapata shida na aibu ambayo haikuhusu? Yaani Simba kufika robo fainali ni aibu? Ila yanga kutolewa si aibu? Ushabiki wa kijinga sana!!
 
YANGA TUNAENDA KAMBINI KUJIANDAA NA SHIRIKISHO DHIDI YA COPCO

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…