Ni aibu kwa vyuo vikuu hapa nchini kushindwa kugundua chanjo ya Corona na sasa vinashindana kutoa tahadhari

Si kweli mkuu. Kwenye suala la korona nimeamua kuisimamia kweli. Kwahiyo sitakuwa upande wa kundi/taasisi/mtu yeyote anayeendekeza porojo juu ya suala hili.
Like son like father
 
Kwani Tanzania kuna Vyuo Vikuu au kuna Vituo tu vya Kusaidia Kupunguza Ujinga uliokithiri kwa Wananchi?
 
Vyuo vikuu gani? Au unasema Vyuo Uchwara, kwa Taarifa yako Tanzania hatuna ubora wa hivyo katika Elimu
 
Waganga wa kienyeji wamelala mnele,wanasikilizia kwa mbaaali.
 
Mfano mzuri. Jamaa inaelekea hajui gharama za research. Atakuwa anazifananisha research na experiments za shuleni.
 
Sijajua tatizo ni nini zaid Ila ukweli wasomi wa Tanzania kichefuchefu wapo wachache ambao elimu yao imekuwa msaada kwa jamii au mazingira ya chuo husika Ila wengi wao Hanna kitu


Binafs nakereka kuona Profwa SUA anahangaika na biashara za bar na kuacha taaluma yake ikiishia hewani

Tuna muhimbili tuna udom pamoja na kcmc hawa katika maradhi kama covid walipaswa kuwa front line kuhangaikia chanjo kwa njia ya tafit Ila ajabu mpaka Leo wapo tu mpaka wazee wa tiba asili wanaoneka bora zaid kuliko hao



Tuna maabara ya taifa haitumiki ipasavyo

Hapa siwalaumi sana wanafunzi Ila nalia na Dr Prof tulionao na hili nj kwa baada zima la Africa
 
physics na umeme ni mambo tofauti.
how ever umeme umetokea kwenye physics.

kwa ninavyojua hakuna profesa anapiga kishoka.
ukishafika hizo level labda uweuke mwenyewe. lakin sio kupiga kishoka. degree labda.. masters labda.. sio prof ni kitu kingine
Prof ni utafiti hawa wetu wametafit nini? Acha tupige nyungu
 
Tafit huwa zinafadhiliwa acha kujiongopea
 
Mfano mzuri. Jamaa inaelekea hajui gharama za research. Atakuwa anazifananisha research na experiments za shuleni.
Hakuna wafanya research Tanzania. Kwa elimu gani? Acha kujificha kwenye kichaka cha gharama.

Hao Oxford na wengine wamepewa fedha na WHO kufanya research za corona. Unafikiri kwann hakikupewa chuo kimojawapo Cha Tanzania?

Hapa hakuna wasomi, Kuna kikundi cha malaya, walevi na mqkahaba wenye makaratasi yanayo watambulisha kama wasomi
 
Research haianzi tu kwa kuwa kuna Corona. Kuna kuwa na research activities ambao Zina endelea Kila Siku hivyo Zina build capacity na ku enhance new ideas.

Pesa inahozungumziwa hapa Siyo ya kufanya research ya Corona Bali ni ya kufanya research kwa ujumla. Na hilo tatizo halipo TZ tu Bali Africa na nchi nyingi.
 
shika adabu yako
 
Aliyekuambia sisi tuna tatizo la corona ni nani? Yaani tuhangaike na mafua? Waache wapambane wazungu, siye mafua siyo issue kihivyo! Tunapambana kutokomeza kifua kikuu, na malaria (haya ni majanga ya kiasili! Ngoma na corona ni majanga ya kutengenezwa na wazungu, hivyo wanawajibika kutafuta ufumbuzi wake! Watakapo shindwa ndipo tutaanzie😂😂😂! Kwa sasa tunawachora tu😱!
 
Unamaanisha serikali haiwezi kughalamia mchakato huu kwasababu haina fedha?
Mnaenda mbali kote huko, chanjo ya covid 19? Hiyo dawa ya mabusha na matende tu zimewashinda sembuse huko?!!watu bwana, bongo kuna wasomi bwana?!!kama usomi wenywewe ndio huo eti alipata alama" A"Zote UDSM!!kwa mawazo hayo kwa taifa zima bora nibaki na ELIMU YANGU YA WATU WAZIMA LANGU
 
Aibu ipi hata hao wenye techologia ya juu hawajagundua chanjo kamili
 
Fedha na uhimilivu wa matokeo ya mchakato.
 
Ninalia na Sua kwani tunawategemea hasa kwa tishio la nzige na mengineyo, niliwahi sikia China wakijipanga kupeleka msaada wa wa ndege-batakutokomeza nzige huko Irani .. Ni wakati wa Sua kuwa na tafiti za namna hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…