Ni aibu mapokezi ya ndege Tanzania

Ni aibu mapokezi ya ndege Tanzania

Tatizo ni pale tunapokuja kuambiwa shirika linajiendesha kwa hasara..so painful...
 
Kwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?.

Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote wananafuraha, shenz type.
Ukiona kitu chocho kutoka nje kimeletwa ujue kuna 20% kwa ya maana imetolewa kwa serekali hii haiwezi kununua ndege bila dalali utfikiri hawajui kiwandani
 
Ni ndege ipi mpya alinunua Nyerere? Yeye aligaiwa mitumba ya iliyokuwa East African Airways.
Zilikuwepo Boeing 737 mbili zikijulikana kwa jina Kilimanjaro na Serengeti !
Pia zilikuwepo Fokker Friendship kadhaa na Twinowter kadhaa !!
 
Hujui kitu wewe wacha wazalendo tupokee dege.. Kama unaumia sana roho kamata fagio ukafagie viunga vya ufipa.
Ushamba na ulimbukeni siyo sehemu ya uzalendo, bali ni sehemu ya upunguani.

Ndege ni chombo cha usafiri, siyo kitu cha ajabu cha kukufanya mtu uache shughuli zako uende kuishangaa. Ufukara wa akili ni mbaya kuliko ufukara wa kitu chochote. Hao wanaoenda kuzurura airport kuishangaa ndege ndiyo wanaoifanya hii iendelee kuwa maskini siku zote.
 
Kwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?.

Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote wananafuraha, shenz type.
aise pole sana kamanda kwa maumivu makali sana unayopitia,

kwahiyo ulikua unatazama TBC huku ukificha macho kwa vidole vya mkono lakin unachungulia kwenye upenyo wa vidole huku unaumia kuona usichopenda😀😛😀

kuna ngoma maja kali sana ya msanii flani hivi, anaitwa Hussein Machozi na wimbo wake unaitwai UtaipendA,

cheki video inafanana kabisa na bandiko lako aise.....
 
Ni ndege ipi mpya alinunua Nyerere? Yeye aligaiwa mitumba ya iliyokuwa East African Airways.
Wewe hujui lolote. Kaa na ujinga wao usijitie aibu.

Wakati wa utawala wa Nyerere zilinunuliwa ndege mpya kabisa, brand new 13, zote jet engine, siyo pangaboi.

Wakati wa kuvunjika kwa EAC, Tanzania haikugawiwa ndege. Rubani mmoja aliamua kutoroka na ndege 1 na kuja kutua Tanzania. Makao makuu ya EA Airways yalikuwa Kenya. Ndege zote zilibakia huko.

Kama huna uelewa na kitu, uliza au tafuta uelewa, usiropoke.

Kiuhalisia, hakuna wakati ambao nchi iliwahi kupata maendeleo ya haraka kama wakati wa Mwalimu Nyerere:

Tulikuwa na viwanda karibia vya bidhaa zote muhimu, kuanzia kuunganisha malori ya scania, matrekta ya valmet, kutengeneza baiskeli aina ya swala, matairi ya general tyre, vuwanda vya nguo Mutex, Mwatex, Sungura tex, Urafiki, kiwanda cha viatu Moro shoes, kiwanda cha batteries cha YUASA, na vingine vingi. Na vyote vilikuwa vInatengeneza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu, siyo bidhaa takataka kama hizi za leo. Leo tumegeuka kuwa nchi ya wachuuzi wa kuuza bidhaa hafifu za China.
 
Kwenye hii nchi ya Kusadikika tumebarikiwa kila kitu! Kasoro viongozi bora tu wa kuliongoza Taifa.

Imagine maeneo mengi ya nchi watu wanahangaika kwa kukosa maji safi na salama! Huku tukiwa tumezungukwa kila kona na mito mikubwa, maziwa makubwa, mabwawa, bahari, nk

Wananchi wanateseka kwa mgao wa umeme wa miaka nenda huku tukiwa na vyanzo lukuki vya kuzalisha umeme wa uhakika! Miundombinu mibovu ya barabara! Huduma mbovu za afya, elimu! Nk.

Badala ya viongozi kumaliza kabisa kero za aina hii! Wao wako busy kuteuana na kutenguana! Kununua ndege, kununua magari ya kifahari, kulipanda posho nono, kufanya ufisadi, nk.
 
Ushamba na ulimbukeni siyo sehemu ya uzalendo, bali ni sehemu ya upunguani.

Ndege ni chombo cha usafiri, siyo kitu cha ajabu cha kukufanya mtu uache shughuli zako uende kuishangaa. Ufukara wa akili ni mbaya kuliko ufukara wa kitu chochote. Hao wanaoenda kuzurura airport kuishangaa ndege ndiyo wanaoifanya hii iendelee kuwa maskini siku zote.
mshamba ni wewe kama hujui sasa uliza mtu yoyote
 
Kwakweli ninajaribu kujilazimisha kutazama TBC mapokezi ya ndege "yao". Siasa tupu hasa kutoka Kwa chawa mtembea peku. Analazimisha pongezi Kwa niaba ya watanzania wote. Are you serious?.

Wengi waliopo hapo mioyo yao inavuja Kwa matumizi mabaya ya Kodi zao, wewe na mtumbo wako unadai watz wote wananafuraha, shenz type.
Maskini watanzania wananunua ndege halafu wanazipaki viwanjani! Mungu atusaidie.
 
Hujui kitu wewe wacha wazalendo tupokee dege.. Kama unaumia sana roho kamata fagio ukafagie viunga vya ufipa.
Wajinga , vilaza , walamba miguu wengi wamejificha kwenye hao kaneno (UZALENDO) amini na kwambia nikikaa na wew meza moja unipe tafsiri halisi ya neno uzalendo wew ni mweupe peeeeee ........ ivi huu ujinga mnausomea wapi ..... tufanye kazi ama kweli njaa ni mbaya
 
endeleni kupinga kila jambo nchi inachanja mbuga ndugu
 
Back
Top Bottom