Ni aibu sana mwanaume mwenye umri 35 na kuendelea kukosa uwekezaji wa kuanzia millioni 30

Huwa nashangaaga sana hivi muda wote huo wa miaka kumi ya utafutaji wako unakosa kuwa na asset zenye thamani ya pesa hizo
Kwamba shetani kakuchukia sana kana kwamba anaona akikupa hivyo vitu utamsaliti

Au mnapata ndio starehe zimewazidi miaka 35 inakushindwa million 30 tu

Halafu mnakazana ipo siku mungu atatusaidia hivi mpo serious kweli

Kuna jamaa alisemaga muuwawe mnalitia hasara taifa

Ni aibu tena aibu sana mwanaume kama wewe unakosaje kuwekeza bhana aah hata kiwanja kule Ituli ndani ndani nacho huna kweeli

Hata tumbuzi twa kujivunia labda baada ya miaka mitano wanaweza fika 50 nikawekeza sehem nao huna kweeeli kabisa yaani kabisa ila smat ya m3 na tuvisofa ambayo hatuwezi kuku move on wakati ujao unato,

Tuache kujipa matumaini ya hovyo hata Mungu wenu hawapendi watu wa namna hiyo.

Umri ndioo huoooooooo unaenda msiseme sijasema.

Wakuu samahani kwa yote ni mimi MR PIPA ambaye nilipata hiyo hela nikaenda kuhonga naombeni mnisaidie japo 5000 hali tete michongo imebuma natumaini ombi litashughulikiwa asante
Ulivyo andika tu huu uzi wako ikabidi niende kwenye post zako za nyuma i mean profile lako ili nijue wewe ni mtu wa aina gani.
Uzi wa pili tu kukutana nao sikuona umuhimu wa kuendelea mbele maana majibu nikawa nimeyapata.

Ipo hivi, ukimtegemea Mungu wa mbinguni aliyeziumba mbingu na nchi, kufanikiwa huwezi kujipangia ni mpaka Mungu akufungulie mlango huo.

Mungu kujibu maombi ya uchumi huwa haangalii umri bali tunasema Mungu huwa hawahi wala hachelewi bali kila mtu na wakati wake alio kusudia yeye.

Kwenye huo uzi wako nimeona unammwagia sifa shetani kwamba ukitaka utajir ni chapu anakupa kupitia waganga.! Sehemu nyingin unasema amekupa siri ya kujua utamu wa mbususu.!
It is ok kwa staili hiyo nikupe hongera kwa kufanikiwa kwa umri wa miaka 35 kumilik mil 35 inawezekana hicho ni kiwango cha chini inayo zaidi.

Yote tuyafanyayo hapa duniani hutokana na maamuzi, hivyo acha walioamua kuto mkimbilia shetani wafanikiwe kwa muda wao huenda at 40's or 60's haijalishi.

Nimechok kuandik ngoja niishie hapa.!
 
Mzee kupata kidogo unaona ushatoboa??
Life begins at 40's

Sent from my itel S32LTE using JamiiForums mobile app
Life begins at 40 ina maana yake mkuu.

Life begins at 40 tayari una familia, watoto wameshakuwa wakubwa, una assets na kipato cha kueleweka.

Una enjoy maisha!

40 sio kuanza kutafutana, wakati kitanzania hapo mtu ndio anajitafuta maisha yanatupiga mishe hazisomeki, watoto bado wadogo, bado unaishi nyumba ya kupanga...MIDLIFE CRISIS inaanzia hapo.
 
Mkuu mbona wengine tumeshakata tamaa ila tunaendelea kudunda tuu...kuna stage unafika unajua huwezi kufanikiwa kimaisha ila inabidi uendelee kutafuta chochote cha kupeleka siku mbele mpaka utakapokata moto🐒
Kwaida Mungu anatoa fursa kwa watu wote bila ubaguzi, shida kubwa ni kuitambua fursa kwa wakati, wengi wanazichezea wakidhani zitaendelea kuwepo ghafra zinakata, wengine wanagundua baadae kuwa kumbe Ile ilikuwa ni fursa wakati imepita, wazee wengi wanaopata shida ukiongea nae atakwambia kuna kipindi alipata fursa hakuitumia, anajuta!!!

Fursa nyingi zinaletwa wakati wa ujana

Sasa fursa kurudi Mara ya pili ni Neema, tusichezee FURSA YOYOTE YA KUTUTOA KIMAISHA
 
umeongea point sana waache waendelee kujifariji
 
Sio kweli siwezi jiua kisa upuuzi huu
Over seven billions people around the world we can't have the same mind and we can't have same way to handle issues while you can take this kind of threads not serious at all then someone can take this kind of threads serious to reach the point to develop depression before killing him/herself kwahiyo KikulachoChako is right Japo hata mimi binafsi Naona ni udwanzi kujiua kisa sina pesa
 
Huwa nashangaaga sana hivi muda wote huo wa miaka kumi ya utafutaji wako unakosa kuwa na asset zenye thamani ya pesa hizo
Kwamba shetani kakuchukia sana kana kwamba anaona akikupa hivyo vitu utamsaliti

Au mnapata ndio starehe zimewazidi miaka 35 inakushindwa million 30 tu

Halafu mnakazana ipo siku mungu atatusaidia hivi mpo serious kweli

Kuna jamaa alisemaga muuwawe mnalitia hasara taifa

Ni aibu tena aibu sana mwanaume kama wewe unakosaje kuwekeza bhana aah hata kiwanja kule Ituli ndani ndani nacho huna kweeli

Hata tumbuzi twa kujivunia labda baada ya miaka mitano wanaweza fika 50 nikawekeza sehem nao huna kweeeli kabisa yaani kabisa ila smat ya m3 na tuvisofa ambayo hatuwezi kuku move on wakati ujao unato,

Tuache kujipa matumaini ya hovyo hata Mungu wenu hawapendi watu wa namna hiyo.

Umri ndioo huoooooooo unaenda msiseme sijasema.

Wakuu samahani kwa yote ni mimi MR PIPA ambaye nilipata hiyo hela nikaenda kuhonga naombeni mnisaidie japo 5000 hali tete michongo imebuma natumaini ombi litashughulikiwa asante
Sawa wewe tuseme tuuu
 
Ulivyo andika tu huu uzi wako ikabidi niende kwenye post zako za nyuma i mean profile lako ili nijue wewe ni mtu wa aina gani.
Uzi wa pili tu kukutana nao sikuona umuhimu wa kuendelea mbele maana majibu nikawa nimeyapata.

Ipo hivi, ukimtegemea Mungu wa mbinguni aliyeziumba mbingu na nchi, kufanikiwa huwezi kujipangia ni mpaka Mungu akufungulie mlango huo.

Mungu kujibu maombi ya uchumi huwa haangalii umri bali tunasema Mungu huwa hawahi wala hachelewi bali kila mtu na wakati wake alio kusudia yeye.

Kwenye huo uzi wako nimeona unammwagia sifa shetani kwamba ukitaka utajir ni chapu anakupa kupitia waganga.! Sehemu nyingin unasema amekupa siri ya kujua utamu wa mbususu.!
It is ok kwa staili hiyo nikupe hongera kwa kufanikiwa kwa umri wa miaka 35 kumilik mil 35 inawezekana hicho ni kiwango cha chini inayo zaidi.

Yote tuyafanyayo hapa duniani hutokana na maamuzi, hivyo acha walioamua kuto mkimbilia shetani wafanikiwe kwa muda wao huenda at 40's or 60's haijalishi.

Nimechok kuandik ngoja niishie hapa.!
asante kwa mchango wako japo umeniponda ila barikiwa sana
 
Umesema miaka 10 ya utafutaji sio? Kuanzia 25 hapo unamaanisha!

Sawa, twende pole pole, mimi ni kijana nilikulia maisha ya kuunga unga, home msosi mmoja kwa siku, nimepita pita shule kwa msaada wa serikali, nimemaliza nikiwa na miaka 24. Sina cha kurithi wala sijaanzishiwa maisha.

Miaka 4 ya kutafuta kazi, sina kitu hapo! Miaka 2 iliyofuata nikiwa na ajira ya mshahara wa 1,000,000/= basic, nikaanza kupanga ghetto na kujiweka sawa!

Ili kuepuka kuwa centre point ya familia, najivisha majukumu, kuvuta wengine ili wajitegemee! Kwa miaka 4 napambana na maisha yangu na ya familia(shule, kula, matibabu na pango)

Miaka 10 ya utafutaji wa halali ndo hiyo hapo na umri ndo huo hapo! Sh 30m inapatikanaje?
- Au kwa mikopo ya riba iliyoshushwa? Poda? Michezo au Mission town? Kuwa chawa? Kulamba midomo?
Kwa hizo hela anazozisema bila dili haramu kama madawa ya kulevya,ujangili au ujambazi huwezi kupata
 
Huwa nashangaaga sana hivi muda wote huo wa miaka kumi ya utafutaji wako unakosa kuwa na asset zenye thamani ya pesa hizo
Kwamba shetani kakuchukia sana kana kwamba anaona akikupa hivyo vitu utamsaliti

Au mnapata ndio starehe zimewazidi miaka 35 inakushindwa million 30 tu

Halafu mnakazana ipo siku mungu atatusaidia hivi mpo serious kweli

Kuna jamaa alisemaga muuwawe mnalitia hasara taifa

Ni aibu tena aibu sana mwanaume kama wewe unakosaje kuwekeza bhana aah hata kiwanja kule Ituli ndani ndani nacho huna kweeli

Hata tumbuzi twa kujivunia labda baada ya miaka mitano wanaweza fika 50 nikawekeza sehem nao huna kweeeli kabisa yaani kabisa ila smat ya m3 na tuvisofa ambayo hatuwezi kuku move on wakati ujao unato,

Tuache kujipa matumaini ya hovyo hata Mungu wenu hawapendi watu wa namna hiyo.

Umri ndioo huoooooooo unaenda msiseme sijasema.

Wakuu samahani kwa yote ni mimi MR PIPA ambaye nilipata hiyo hela nikaenda kuhonga naombeni mnisaidie japo 5000 hali tete michongo imebuma natumaini ombi litashughulikiwa asante
KFC alitoboa akiwa na miaka mingapi? Tusipangiane umri wa kutoboa tafadhali maana kuna waliotoboa hata hawajazaliwa yaani mimba tu ishatoboa tayari
 
Back
Top Bottom