Huyu mama boyaIla ukiona hadi wanamdangany aujue washajua hana lolote.
Huyu mama baada ya miaka miwili atakuwa kishafanya mautumbo mengi sana, anaonekana hakuna anachojua
Inaonekana unahasira sana...Tuliza munkari, madaraka hayatafutwi kwa nguvu, tafuta ridhaa ya wananchi, tena yanatoka kwa MunguYes, huna akili wewe
Kujibu maswali kwa kufikiria watu wengine hakuwezi kuleta ufanisi. Yaani unajibu kuwaridhisha badala ya kujiridhisha. Uhuru, ugaidi siasa bado vina utata.Nadhani Huyu Mama wabaya wake wamemlengesha ili aonekane kituko mbele ya jamii. Nae vile wakusinzia anadhani anapendwa kumbe makukuru tiyari washampigia hesabu.
"Kwa sababu jambo liko mahakamani (tuhuma za ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe), sina uhuru wa kulizungumzia kwa sana. Nadhani tuache mahakama zioneshe ulimwengu kwamba hizo shutuma walizomshutumu ni za kweli au si za kweli." - Rais Samia...Mbowe alijificha Nairobi.
..Uchunguzi ulipokamilika akarudi Tanzania.
..Na aliporudi Rais akamtumia salamu.
..Only in Tanzania.🤣
Mnasahau haraka sana ninyiMkuu kudanganya kwa bahati mbaya? 😳
"Kwa sababu jambo liko mahakamani (tuhuma za ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe), sina uhuru wa kulizungumzia kwa sana. Nadhani tuache mahakama zioneshe ulimwengu kwamba hizo shutuma walizomshutumu ni za kweli au si za kweli." - Rais Samia.
Usiokote okote maneno ambayo yanawafurahisha mnukuu rais maneno yake kama mmeamua kujiliwaza sawa.
Kuna kitu kinaitwa kebineti. Hapo fitina zimelalaIna maana yeye Kama yeye hafatilii kabisa? Haangalii taarifa za habari, au hasomi kabisa magazeti?
Jambo dogo Kama hili anapotoshwa vipi kuhusu mikataba mikubwa?
Tumepigwa
Sukuma gang ndani ya tiss wamemwingiza chaka .Nadhani Huyu Mama wabaya wake wamemlengesha ili aonekane kituko mbele ya jamii. Nae vile wakusinzia anadhani anapendwa kumbe makukuru tiyari washampigia hesabu.
Anafikiri ndio njia pekee ya kuia Chadema .Nimeamini samia ni zuzu yaani kumbe ni kweli anampango wa kumuuwa Mbowe anayeuwa kwa upanga atakufa kwa upanga namuonea huruma sana maana amekubali kuingiza utawala. Wake kwenye laana hawezi kujisafisha kwa sababu za kijinga namna hiyo
Aibu naona mimi..Na Maza hana details sahihi za suala la Mbowe.
..Maza anadai Mbowe alishtakiwa mwezi wa 9 mwaka jana kwa ugaidi na uhujumu uchumi.
..Sijui watetezi wake watasemaje ktk hili.
huyu mama nimejikuta namhurumia sana
Ikulu ni Mzigo - JK NYERERE
🤣🤣😃😄..Mbowe alijificha Nairobi.
..Uchunguzi ulipokamilika akarudi Tanzania.
..Na aliporudi Rais akamtumia salamu.
..Only in Tanzania.🤣
🤣🤣Maza analishwa matango pori sana, CCM ni mafia...mnamdanganya Rais wetu...nyieeee
Uchaguzi wa lini? Ule uchaguzi ambao tulia akson alimshinda sugu? Uchaguzi ambao sijui Nani alimshinda mbowe hai iringa msigwa heche tarime nk ule haikuwa uchaguzi.Please, respect our Head of State...Huna adabu wewe!
Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili....
Kwanini mnapenda provocation?
Uchaguzi wa lini? Ule uchaguzi ambao tulia akson alimshinda sugu? Uchaguzi ambao sijui Nani alimshinda mbowe hai iringa msigwa heche tarime nk ule haikuwa uchaguzi.
Aibu naona mimi