Nadhani Huyu Mama wabaya wake wamemlengesha ili aonekane kituko mbele ya jamii. Nae vile wakusinzia anadhani anapendwa kumbe makukuru tiyari washampigia hesabu.
Inawezekana hiyo press Rais hakujiandaa nayo, amekurupushwa akaenda, naona kila swali aliloulizwa amekosea kujibu, hana uhakika na kila alichozungumzia.
Mama anatekeleza maagizo badala ya yeye kutoa maagizo.huyu mama nimejikuta namhurumia sana
Ikulu ni Mzigo - JK NYERERE
Akili???Please, respect our Head of State...Huna adabu wewe!
Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili....
Kwanini mnapenda provocation?
Tulia kumshinda Sugu ni ndoto za mchana. Haiwezi tokea na haitakuja tokea.Uchaguzi wa lini? Ule uchaguzi ambao tulia akson alimshinda sugu? Uchaguzi ambao sijui Nani alimshinda mbowe hai iringa msigwa heche tarime nk ule haikuwa uchaguzi.
..Maza anajaribu kumdanganya Salum Kikeke, ambaye anaishi ulaya, kuhusu maandamano yanayofanyika ulaya.π€£π€£
Please, respect our Head of State...Huna adabu wewe!
Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili....
Kwanini mnapenda provocation?
Heri wewe unayemjua mwanzilishi wa jina la Tanzania ambalo lilikuja baadaye sana baada ya Aprili 26, 1964. Kabla ya jina hilo muungano uliendelea kuitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa miezi kadhaaMkuu,
Mbona unajichanganya?
Si unapigania serikali TATU sio? Ni kitu gani na kitu ukijumlisha kinaleta TATU?
Wanaodai serikali MBILI iendelee wanatoa sababu ya kihesabu kwamba 1 jumlisha moja ni MBILI
Je Ngapi jumlisha ngapi upate TATU?
Tanganyika HURU=1
Zanzibar HURU=1
Tan-Zan......(Kimalizio ni kifupi cha jina la mtu binafsi na dini yake)
IA.......Iqbal+Ahmadiya
Tan-Zan-IA (Mmiliki halali wa jina la Tanzania ni MOHAMMED IQBAL DAR muumini wa dini ya AHMADIYA MUSLIM JAMAAT)
Nchi hii imepatikana kimaajabu, watu wake ni waajabu na matukio ya yanayoendelea kutokea ni ya adabu, mauzauza na giza tupu
Mwanzilishi wa jina hili ni mstaarabu wa kiwango cha juu sana vinginevyo angedaia haki yake mpaka kwenye mahakama za kimataifa ikiwemo kusudio la kumilikishwa nchi na kuabudiwa kama mwenye mali
Wananchi msigombane bure nchi hii siyo yenu ina mwenyewe kwahiyo unapojitwika jeuri kwamba lazima ni dai hili ama lile litekelezwe ni ajabu maana hata viongozi inawabidi kutii masharti na kiapo wanachokutana nacho ambacho wewe na mimi ambao hatujawahi kuingia kwenye tanuru la jumba la kiutawala wa nchi kushuhudia hivyo madai yoyote ukianzisha yatakuwa hewa na ukishupaza shingo utavunjika.
Wewe ulimpigia kura Mama lini? Lakini pia, kama ulipiga kura, halafu ukachagua vibaya, kwa sababu hukuwa na uelewa sahihi, kuna ubaya gani ukijiita huna akili? Mimi naona ni sawa tu, kama kura yako inazingua.Please, respect our Head of State...Huna adabu wewe!
Kumtusi Rais ni kutukana watanzania wote; inamaana sisi tuliopiga kura kumweka kama Makamu wa Rais ambaye ni Rais in waiting hatukua akili....
Kwanini mnapenda provocation?
Duuuhuyu mama nimejikuta namhurumia sana
Ikulu ni Mzigo - JK NYERERE
Huyo naye amebaki na tu-akili twa kuendea msalani asijigonge ukutani tu.Respect is ALWAYS a TWO WAY TRAFFIC. Provocation!? Who is provocating who? Wewe babaako angekuwa yuko ndani kwa ushahidi FEKI ungeandika upuuzi kama huu!? Au mkuki ni kwa nguruwe!? π³π³π³
noma sana !Duuu
Niwekee nikupigoe sasa hiviNamba ya simu umesahau jombi
Kama Mbowe alishtakiwa tangu mwaka Jana, ikawaje polisi waende kumkamata saa nane za usiku na kumuweka mahabusu? Tunajua wazi Kama tayari alikua na kesi, kwa mujibu was rais, basi angeitwa tuu na mahakama akahudhurie kesi yake. Rais ametudanganya?Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea .
Nukuu
Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua Mbowe alifunguliwa Kesi mwezi wa Tisa mwaka jana (2020), kwa hiyo yeye pamoja na wengine na kama ulivyosema mashtaka ni ugaidi na kuhujumu uchumi. Nadhani wenziwe kesi zao zimesikilizwa na wengine wameshapewa sentence zao wanatumikia. Yeye (Mbowe) upelelezi ulikuwa haujeisha, uchunguzi ulikuwa unaendelea so amekwenda amefanya tumeingia kwenye uchaguzi, amemaliza uchaguzi nadhani sasa Polisi wamekamilisha uchunguzi wao, wamemuhitaji waendelee na kazi yao.
Sasa hao wengine ambao Mtukufu Rais Samia anadai walikwishahukumiwa ni akina nani na wako wangapi na wako gereza gani?
Umeniudhi kumwita mtukufu... ana utukufu gani?Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea .