Ni baraka kwa introvert kujifahamu kuwa ni introvert na kuamua kuutumia uintrovert wake kwa manufaa!

Hata Introvert akiamua kuuiga uetrovert, "mtaalam" wa Saikolojia atamgundua tu.

Wewe ni "typical Introvert!"

Na kwa jinsi walivyo na "akili nyingi", wakiamua kudanganya au kuwa wahalifu wanaweza wakafanikiwa kuufanikisha uovu bila kufahamika kwa sababu ya ya tabia zao za kutokufanya jambo kwa kukurupuka.

Ila hongera kwa kuwa unautumia uintrovert wako kwa manufaaπŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Siwezi kujua ila baadhi ya hizo sifa alizotaja ninazo sana tu karibu nusu nzima
Hebu zitaje baadhi, hasa zile zinazokukera. Huenda kuna mtu atakushauri cha kufanya ili kuzigeuza kuwa "mtaji"

Chochote ambacho hakifahamiki sababu ya uwepo wake, kinaweza kutumiwa ndivyo sivyo.

Ndivyo ilivyo kwa introvert wasiojijua, wanateswa na ambacho kilipaswa kuwasaidia.
 
21. BRN..
Tuko vizuri sana kwenye uandishi.
 
A
.....kufanya jambo kwa kutokurupunga au kufanya jambo bila kuwashirikisha watu wengine....
 
Kwanini ni "miezi minne" na si "tangu akiwa tumboni"? Mtoto hata awe na mwezi mmoja tayari huyo kashaonja malezi
 
This is me
 
22. Maramojatu wa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…