Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Wawekezaji wengi wa zamani kampuni zao zilivyo anza kufifia kuna wengine walipotea kabisa alafu kuna wengine baaada ya vyombo vyao kuchoka kutokana na wengi walikua wanamiliki marcopolo/scania buses na ni gharama wengi wamekuja kwenye michina ambayo ni bei nafuu maana marcopolo moja inaenda around 700millions za kutanzania kwenye hiyo pesa unapata ma youtong,higer,dragon,zhoungtoung mbili mbili maana mchina mmoja unaenda around 300millions.
 
 
Sitaisahau Green Apple kutoka Moshi. Huku nikiiona najikuta najifyonza
 
Dar lux hana higer, higer ya mwisho ilikua drr ilitupwa chini baada ya ajari.

Alileta climber mbili, hadi sasa hatujui zilipotelea wapi ni miezi na miezi. Au unazungumzia dar lux yupi?
Hafatilii huyo mambo haya,dar lux hana gari kwasasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…