To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
š¤£
Wawekezaji wengi wa zamani kampuni zao zilivyo anza kufifia kuna wengine walipotea kabisa alafu kuna wengine baaada ya vyombo vyao kuchoka kutokana na wengi walikua wanamiliki marcopolo/scania buses na ni gharama wengi wengi wameibukia kwenye michina ambayo ni bei nafuu sana maana marcopolo moja inaenda around 700millions za kitanzania kwenye hiyo pesa unapata ma youtong,higer,dragon,zhoungtoung mbili mbili maana mchina mmoja unaenda around 300millions.
Dar express ndo yupo hoi ila dar lux alipotea kipindi fulani amerudi tena na vyuma vipya.
Anavyo vipya nae kaingia kwenye michina
Anavyo vipya nae kaingia kwenye michina
Ipo wap? Hizo picha tu hakuna dar lux kwasasa...zaidi miaka 2watu wanasambazaga picha za hizi gari mpya lkn hazipo.
Hafatilii huyo mambo haya,dar lux hana gari kwasasaDar lux hana higer, higer ya mwisho ilikua drr ilitupwa chini baada ya ajari.
Alileta climber mbili, hadi sasa hatujui zilipotelea wapi ni miezi na miezi. Au unazungumzia dar lux yupi?
Usiongee kitu usichokifahamu huyo lux ni mtu wa michina tupu toka anaanzaAnavyo vipya nae kaingia kwenye michina
Hakuna bus zinazoongoza kwa kuwa na ng'ombe wengi( kunguni) kama za kigoma jamani, hata kwenye treni halafu ukae third class, mende na kunguni kawaida sana
Zikifuatwa kwa karibu na basi za mpwapwa to DarHakuna bus zinazoongoza kwa kuwa na ng'ombe wengi( kunguni) kama za kigoma jamani, hata kwenye treni halafu ukae third class, mende na kunguni kawaida sana