Usithubutu kupanda basi la 3*2 utajutaImagine gari limeanza safari saa saba. Limekutwa Moro saa 11 na Shabiby lililoanza safari saa tisa, seat zenyewe 3 by 2
Hahaha [emoji1][emoji23]Kuna bus iliitwa "KING CROSS" iringa-dodoma hii ni hatari
Mtu unasalimiana kwa mikono ulioko ndani na wa nje, yaan mpk kobe anatu overtake
Sent using Jamii Forums mobile app
walikuwa wanafika....sijui kama siku hiziLushanga anafika mpaka dar...? Dah safari ya geita - nzega tulitumia karibu saa 10 njiani
KumbeeeKimbinyiko=Ndugai
Mwanza-arushaKahama - Arusha
Zile za kichina au kihindi ila zimetafsiriwa kiswahili.Movies za kutafsiri au za mkojani
Ndo yenyewe.Hata lile la Dom - dar..?
Nilishawahi kupanda Ally's ya Tanga To Mwanza nilitoka nilipandia Arusha kwenda KahamaHaujawahi kupanda mabasi ya mwanza ee[emoji23][emoji23]movie za mkojani hazijawahi kukosekana.
Kwa mabasi niliyoyapanda kwangu yote ni mazuri kwa safari.
Tanzanite kabla hazijaamia mbeya,Ally’s no 1,Zuberi na mwisho ni Travel Partners yote haya kwangu ni mazuri sana tatizo ni movie za mkojani tu kha
Jamaa ndio mmiliki?Kimbinyiko=Ndugai
Wapo huko mkuuMm huku nilipo magari yote ni ngarangara tu na hakuna options maana njia bado ni ya vumbi. Unaingia kwenye bus tu unakaribishwa na vichambo vya konda, unakuta konda na dereva wote washachafukwa ni full matusi tu na vichambo.
Gari kuharibikia njiani huku sio ajabu, gari kuzama ndio balaa. Kufika town uko mwekundu sio ajabu, unashuka stend abiria wanakushangaa[emoji28][emoji28][emoji28]