Stimboti
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 310
- 572
Hiyo basi sitakaa nipande ilinitesa kutokea kiomboi kwnd Moshi hovyo kabisa.Acheni kitu inaitwa KANDAHARI ile basi hakika inafanana na jimbo la KANDAHAAR AFGANSTAN hukooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo basi sitakaa nipande ilinitesa kutokea kiomboi kwnd Moshi hovyo kabisa.Acheni kitu inaitwa KANDAHARI ile basi hakika inafanana na jimbo la KANDAHAAR AFGANSTAN hukooo
Mkuu umenikumbusha siku moja tulikua na safari ya kikazi Arusha - Nzega sasa tulikua wanne na bosi wetu tukamuomba mmoja wetu akatukatie tiketi basi zuri. Jamaa akatuambia kakata Mghamba full luxury tutaenjoy wenyewe...!Mgamba lile lenye mlango kati kati[emoji81][emoji81][emoji81]
Alhashoom, umenikumbusha mbali sana. Nakumbuka nikiwa Dodoma mwaka 2014 nikawa nina kazi Moro nikaenda stendi mida ya saa nane nikakosa basi kubwa la haraka, nikaamua kupanda hilo gari nikiamini nitawahi Morogoro. Hili lilikuwa kama daladala, kila kituo linasimama!! Nilichukia sana na hata nilichofuata Morogoro sikukifanya siku hiyo ikabidi nilaleAlhashoom Dodoma to Morogoro.
Ni safari ya siku nzima, na wanapaki porini wapakize mkaa.
Huyo mnyama hapo kwenye picha nimecheka sana aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo ukute hata dereva na konda wanafanana na hilo gari lao halafu wachafu wananuka bange na ugoroMkuu umenikumbusha siku moja tulikua na safari ya kikazi Arusha - Nzega sasa tulikua wanne na bosi wetu tukamuomba mmoja wetu akatukatie tiketi basi zuri. Jamaa akatuambia kakata Mghamba full luxury tutaenjoy wenyewe...!
Advataiz inaanza siku ya safari tulikua tuondoke saa 1 asubuhi. Tumefika stendi basi halipo. Kuuliza uliza pale tukaambiwa tuwe wapole linakuja mda si mrefu. Mabasi yote ya njia hiyo yameondoka sisi tupo tu, saa mbili, saa tatu, saa nne..!
Mara ghafla tunaona ngarangara moja la kutisha linaingia sisi wala hatukuhangaika nalo tukawa tunaendelea na stori tukajua ni yale mabasi yanayoenda King'ori na Ngarenanyuki huko. Cha ajabu tunasikia jamaa anaita "Haya haya wale wa Singida, Nzega mpaka Kahama chuma hicho apo...!! Hatukutaka kuamini tulichokua tunasikia. Wote tulibadilika rangi pale, tukaanza kugomba ila ndio hivyo hatuna cha kufanya. Aisee ile safari ilikua ya hovyo sana mpaka tunafika hatukua na hamu.View attachment 2223836
Mkuu umenikumbusha siku moja tulikua na safari ya kikazi Arusha - Nzega sasa tulikua wanne na bosi wetu tukamuomba mmoja wetu akatukatie tiketi basi zuri. Jamaa akatuambia kakata Mghamba full luxury tutaenjoy wenyewe...!

Kuna kipindi nilikua mwz nataka kuwahi arusha nikauliza bus linalotembea vizr likapelekwa kwenye hili bus 😃😃😃😃
Bus gani umewah panda na ukajutia safari yako.
Niliwahi panda bus kampuni ya fikoshi mwanza-mbeya lina seats 3 by 2 aisee ticket nilikatia misigiri pale kwa wapiga debe basi bwana bus kabla halijafika lilipigiwa sana promo ni level siti hamna kusimama nikaketi kulisubiri saa 5 bus likaingia kilichonivunja pozi kupanda tu nakuta siti za 3/2 alafu katikati kuna ndoo na magunia watu wamekalia alafu nauli nimelipa elfu 40000 kushuka siwezi maana mpiga debe alishachukua ganji yake na keshamkabidhi konda pesa.Nilisimama kutoka misigiri hadi dodoma manyoni aisee lile bus hapana .
Mkuu umenikumbusha siku moja tulikua na safari ya kikazi Arusha - Nzega sasa tulikua wanne na bosi wetu tukamuomba mmoja wetu akatukatie tiketi basi zuri. Jamaa akatuambia kakata Mghamba full luxury tutaenjoy wenyewe...!
Advataiz inaanza siku ya safari tulikua tuondoke saa 1 asubuhi. Tumefika stendi basi halipo. Kuuliza uliza pale tukaambiwa tuwe wapole linakuja mda si mrefu. Mabasi yote ya njia hiyo yameondoka sisi tupo tu, saa mbili, saa tatu, saa nne..!
Mara ghafla tunaona ngarangara moja la kutisha linaingia sisi wala hatukuhangaika nalo tukawa tunaendelea na stori tukajua ni yale mabasi yanayoenda King'ori na Ngarenanyuki huko. Cha ajabu tunasikia jamaa anaita "Haya haya wale wa Singida, Nzega mpaka Kahama chuma hicho apo...!! Hatukutaka kuamini tulichokua tunasikia. Wote tulibadilika rangi pale, tukaanza kugomba ila ndio hivyo hatuna cha kufanya. Aisee ile safari ilikua ya hovyo sana mpaka tunafika hatukua na hamu.View attachment 2223836
Zai Dada Dar-Arusha kuondoka Mbezi saa 8 mchana kufika Arusha saa 9 alfajir, nauli @20,000 TZSBus gani umewah panda na ukajutia safari yako.
Kigoma mwisho wa reli[emoji38][emoji38]Wapo huko mkuu
Hayapo tenaKuna mabasi yalikua yanaitwa Mombasa raha na Mohamed Trans nilikua nasafiri mostly Dar-Mwanza hayo mabasi yasikieni tu. Baadae nikahamishia safari zangu kwa Ally's ndio atleast nikapata unafuu wa safari zangu. Zijui kama mpaka sasa ivi bado yapo?
Nilifika Saa nne usiku ...hapo gari lilizimikia tengeru....[emoji23] safari mlifika kwa wakati kweli
Dereva alikuwa anaitwa Shafii. Yalikuwa ni Leyland na barabara ilikuwa vumbi tupu. Dodoma Saa 12 asubuhi-Iringa saa 1 jioni.Kuna bus iliitwa "KING CROSS" iringa-dodoma hii ni hatari
Mtu unasalimiana kwa mikono ulioko ndani na wa nje, yaan mpk kobe anatu overtake
Sent using Jamii Forums mobile app