Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

Kweli hizo movi wahusika wachukue mawazo ya wadau. Hazifai ni za kitoto kitoto sana.
 
Bus gani umewah panda na ukajutia safari yako.
Hii Post haina Afya kwa Biashara
Inamaana kama Kampuni ina mabasi 15 moja likazingua barabarani haina maana mabasi yote ya Kampuni ni mabovu?; Ungeandika watu wataje mabasi waliyosafiri nayo wakayapenda nanini walichokipenda ingeleta Afya zaidi
Naamini siku ukiingia kwenye Biashara hata kama ni ya kuuza maandazi utanielewa!
 

Daah [emoji23][emoji23] iyo kampuni hapana alaf Siti zake ni 3/2 nilijuta mimi
 
Kwasababu zakibiashara na huenda sasa hivi wamebadilika hivyo sitawataja, wanabrand ya rangi Blue na ofisi zao pale Shekilango..hawa watu walitutoa Ubungo saa sita mchana kwenda kahama badala ya saa 12 asubuhi.

Dar lux [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba Mtoto ya kutoka Tanga kwenda Dodoma! Ilibakia kidogo tu itumwage Mto Wami baada ya break kufail.

Nilijalaumu sana imekuwaje nikapanda gari bovu kiasi kile! Siku hizi huwa napanda Nacharo tu. Nikikosa siti bora nikapanda hataTashrif! Ila siyo Simba Mtoto!
 

Sidhan sijaiona pale mbezi
 

Nimekuelewa sana mkuu nilikosea kidogo mwanzo wa thread
 
Kuna kipindi nilikua mwz nataka kuwahi arusha nikauliza bus linalotembea vizr likapelekwa kwenye hili bus πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ni balaa nilitoka mwz sa12 ar tukafika sa8 mchana chuma inatembea kama ndege ni kiboko 🀚🀚🀚
Sahihi kabisa hio chuma enzi zake ilikua inakimbia kishenzi,sijui siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…