Bahati mbaya au nzuri sijengi uswazi.Huo uwanja umeununua sh ngapi? Paa utaweka nyasi au bati na bati umeandaa sh ngapi?
Milango madirisha plaster gypsum ceiling skiming rangi floor tiles vuoo na plumbing mashimo ya vyoo umeme?
Weka makadirio ya bei ya hivyo vitu tujuwe thamani ya ujenzi huko uswazi....
Sasa unapomshauri mtu mwenye mil 15. 7 ajenge nyumba wakati unajua hata haitoshi unatarajia nini mkuu?Bahati mbaya au nzuri sijengi uswazi.
Pia nimekuandikia kwamba NIMEJENGA MPAKA KWENYE LENTA kwa bei hiyo.
Exclude kiwanja, Mapaa and all shit.
Ila nategemea kupiga bati ya south
Soma comment namba 78. Hapo ndio nimemshauriSasa unapomshauri mtu mwenye mil 15. 7 ajenge nyumba wakati unajua hata haitoshi unatarajia nini mkuu?
Basi sorry I thought ulikuwa una support ajenge nyumba uswazi kitu ambacho napinga na najua kwa bei hiyo haiwezekani kumaliza nyumba unless ajenge vyumba vya frem vya kupangisha vya futi 10 kwa 10Soma comment namba 78. Hapo ndio nimemshauri
mkuu fanya biashara zenye mzunguko wa haraka .. i mean first moving business zile ambazo demand ( mahitaji ) yake makubwa kwa jamii .. for example sigara kuuza kwa jumla ..habari wakuu!
katika mitego yangu ya hapa na pale nmenasa mkwanja kama mil 15 na laki saba lakini sina uzoefu na biashara! naombeni mawazo nifanye biashara gani ambayo inaweza nitoa
nipo sumbawanga wakuu!
Umeshindwa nn kutoa huo ushauri hapa tufaidike wengi?Are u serious? If so please njoo PM nikupe ushauri mzuuuuuri!
Bahati mbaya au nzuri sijengi uswazi.
Pia nimekuandikia kwamba NIMEJENGA MPAKA KWENYE LENTA kwa bei hiyo.
Exclude kiwanja, Mapaa and all shit.
Ila nategemea kupiga bati ya south
huyo muongo .. labda ajenge nyumba ya miti ..Dah kumbe vitu vinawezekana 5.3 mpaka kwenye lenta??
Sio ladhima mimi silipwi hapa na wala wewe unilipi na wala mimi sio mtoa mada mimi ni mshauri tu na ni ihari yangu sababu wazo la biashara wanauza wewe unataka bureWeka simple breakdown ya hiyo biashara... Say mukiwa na capital ya kiasi gani mutarajie profit kiasi gani na kwa muda gani... Unapokataa maswali unakosea maana hapo watu wanaongelea pesa na sio maji useme yakimwagika utachota mengine mtoni au baharini.... Pesa hiyo ujuwe ikikata maisha ya mtu yanabadilika ikiwamo kifo pia maana wengine tunataka kuwekeza viinua migongo ujuwe.
kiwanja mkuranga mjini karibu na halmashauri mill 1 tofali za vyumba vitatu mill 2 material mengine kila kitu mill 4 finishing miti maua mill 2 hiyo ufund mwanzo mwisho 1.5 hiyo 4.5 iliyobaki fanyia bussness kaa kwenye nyumba kwa miezi miwili kisha uzaUnasema? Ananunua kiwanja kisha anajenga kisha anauza? Msingi million 15. 7 ? Kweli mdau au unamtania mshkaji?
Na anamuuzia nani wakatinhcnyumba zimewadodea.... Tuweni makini na hizi shauri tunazowapatia wenzetu la sivyo tunaweza kuwatia uchizi wa uzeeni.
Kwa kifupi kuna sehemu unaweza kupata kiwanja ...mchanga ukawa unaletewa na mkokoteni Vs.Tipper.Kwahiyo uswazi cement mfuko sh 1500 au? Huo uwanja uswazi unagawiwa buree sababu mjomba anamiliki ekati 500? Hivi uswazi bati linauzwa jero?
Ahahahhah.... Achana na total station naifahamu hadi thodolite. Pia kwa kuongeza ufahamu wako juu yangu.... Uswazi ndio nilikozaliwa kukulia na mpaka leo bado natimba kitaa na full respect.Kwa kifupi kuna sehemu unaweza kupata kiwanja ...mchanga ukawa unaletewa na mkokoteni Vs.Tipper.
Kuna sehemu maji ndoo ni BUKU lakini sehemu nyingine ni sh. 50
Kuna baadhi ya maeneo ku Set kiwanja unatumia TOTAL STATION na kuna baadhi ya maeneo fundi ana set kwa macho.
Sasa basi hayo maeneno yenye unafuu ndio nayaita uswazi.
Nina uhakika huna ufahamu na total station na kwa kukusaidia,ipo hapo pichani
View attachment 433836
Asilimia 75% ya gharama za ujenzi zipo ktk usafiri.
Duuuh kumbe we mwenzetu!!!Ahahahhah.... Achana na total station naifahamu hadi thodolite. Pia kwa kuongeza ufahamu wako juu yangu.... Uswazi ndio nilikozaliwa kukulia na mpaka leo bado natimba kitaa na full respect.
Kwa nyongeza tuu... Sie ndio tuliokuzwa kwa miguu ya kuju utumbo vichwa na supu za mapupu.
Usisahau pia sie ndio familia za wauza gongo na bangi kabla ya kuadvancena kuanza kuuza unga mixer valium
Kukukumvusha tena sie ndio tuliokuzwa na kusomeshwa kwa pesa za ukabaji na umalaya wa mama na baba zetu.
Turudi kwenye topic ya msingi... Sema bei ya kiwanja huko uswazi kwenu na hasa huko unakoweza kuchimba mchanga wa kujengea.... Kumbuka mbagala chamazi mbande na kisauke huko ni nje ya mji.
Pia sema bei ya tofali kwa uswazi yenu maana kwetu tofali 800. Sema bei ya bati nondo ceiling board na mbao za kujengea.... Kifupi njoo na mchanganuo wa hiyo nyumba yako tuache kuandikia mate na wino upo....
Karibu kwetu wauza utumbo kemp... Nunua kilo moja ukope kilo nne malipo ya deni maelewano ofa inaanza saa 6 mpaka majogoo.
Zipo zile zetu tunazojenga tuishi wenyewe... Uwanja upo unavuta chumba cha futi 10 kwa 10 maisha yanasonga... Ila huyu wa mil 15. 7 anunhe uwanja mil3 hapo kapimiwa miguu 10 kwa 10 kama wanavyouziwaga wapemba wajenge maduka... Ukisema ujenge nyumba kisha uje uiuze lazima uwanja uwe mkubwa na bei itakuwa kubwa msingi mdogo huo...Duuuh kumbe we mwenzetu!!!
Usiwe mbishi nyumba za gharama nafuu Uswazi zipo.
BRAVOZipo zile zetu tunazojenga tuishi wenyewe... Uwanja upo unavuta chumba cha futi 10 kwa 10 maisha yanasonga... Ila huyu wa mil 15. 7 anunhe uwanja mil3 hapo kapimiwa miguu 10 kwa 10 kama wanavyouziwaga wapemba wajenge maduka... Ukisema ujenge nyumba kisha uje uiuze lazima uwanja uwe mkubwa na bei itakuwa kubwa msingi mdogo huo...
Na kama ni lazima afanye biashara ya nyumba basi Ende mbande akanunue miguu 20 kwa 20 mil 2 ajenge kisha asubiri miaka mi5 ndio auze.
Mkuu uko wapi unipe njia uliyo tumia?Najenga nyumba now, kuifikisha kwenye lenta ni 5.3M
Hapo ni nyumba ya vyumba 3, 2 self contained. Jiko, stoo, public toilet, sitting room.
Na ni Dar es salaam.
Labda kama mshamba upate mafundi wakugonge
mkuu nipo mbeya nina plan ya kufanya biashara ya chakula kama mchele,sembe,maharage,karot na vitunguu maji na swaumu,,vyote hv nadhalisha mwenyewe,,njoo pmKwa utawala huu ushauri wangu usifanye biashara nje ya vyakula, ungekuwa dar ningekutafuta nikuonyeshe fursa zilizopo, Ila biashara mwa sasa ni chakula tu