Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine 🤔🙏❤

1.3m inatosha Kwa kuazia kweli

Inategemea uko wap ukijitoa akili hela unapata cha msingi ni uuze kila kitu kuanzia vinywaji vya kuongeza nguvu,bia,soda maitaji ya nyumbani...kua na viti viwili vya plastic hapo nje ya duka...

Alafu mbele ya duka lako weka genge kuanzia nynya mpaka nazi uwe nazo...

Hapo hapo asbh(kuanzia saa 4 ivi maana mapema yake unaenda kuchukua mzigo) kaanga mihogo inafaida kwa pembeni hapo alafu jioni warostie chips na ndizi na mishkaki ukimaliza kaanga maandazi ya asbh.😂😂😂😂😂

hapa mtaani kwetu kuna mmama ndio mapambano yake na bado mauchafu yote yanayobaki anachemshia nguruwe zake.

Kama unataka pesa ni kujilipua na kutokujionea huruma kuwai kuamka kuchelewa kulala baada ya muda flani unaanza kuajiri.

Mi namkubali sanaa ndio ma iron lady hawa na naamini mambo makubwa na mazuri yako mbele n suala la muda tuu.
 
mikopo umiza a.k.a kausha damu

nilianza na elfu 40 tu kidogo kidogo mwaka wa tatu mpaka sasa nina maisha si haba.

nimenunua kiwanja, nakula navaa.

unamkopesha mtu elfu 50 riba elfu 10 kwa wiki.

wengine wanajaa kwa siku unamchapa elfu 20 riba
 
Watu unaokopesha ni wafanyabiashara ndogo ndogo au wafanyakazi? Na dhaman ni nn
 
Inategemea uko wap ukijitoa akili hela unapata cha msingi ni uuze kila kitu kuanzia vinywaji vya kuongeza nguvu,bia,soda maitaji ya nyumbani...kua na viti viwili vya plastic hapo nje ya duka...

Alafu mbele ya duka lako weka genge kuanzia nynya mpaka nazi uwe nazo...

Hapo hapo asbh(kuanzia saa 4 ivi maana mapema yake unaenda kuchukua mzigo) kaanga mihogo inafaida kwa pembeni hapo alafu jioni warostie chips na ndizi na mishkaki ukimaliza kaanga maandazi ya asbh.😂😂😂😂😂

hapa mtaani kwetu kuna mmama ndio mapambano yake na bado mauchafu yote yanayobaki anachemshia nguruwe zake.

Kama unataka pesa ni kujilipua na kutokujionea huruma kuwai kuamka kuchelewa kulala baada ya muda flani unaanza kuajiri.

Mi namkubali sanaa ndio ma iron lady hawa na naamini mambo makubwa na mazuri yako mbele n suala la muda tuu.
Thanks Kwa ushauri mzuri madam🙏
 
Back
Top Bottom