Ni bima ipi ya afya bora kukata? Tupeane uzoefu na ushauri

Uzi ungekuwa na msaada zaidi kama ungeanisha bei ya kila bima. Hili la kusema tu bima nzuri linaweza kupotosha kwa sababu members hawatajua gharama.
 
STRATEGIS, inanipeleka mpaka INDIA nikiugua, nauli yakwenda na kurudi juu yao na million Moja na laki Tano kama fedha ya kujikimu unapatiwa. Unatibiwa hospital wanazotibiwa wabunge na wafanya biashara wakubwa.
Na unalipa ngapi kwa mwaka
 
Strategies ni classic sema haipatikani kwene vihispitali vya ajabu
 
Binafsi situmii bima za kadi.

Nipo bima ya mitishamba
Bima ya mazoezi
Bima ya Yesu
Bima ya Sangoma.
Bima ya mtume SAW

mwaka wa 23 sijui bistali.

Ila nitakata tu hizo za vipande ngoja nizisake kwanza au nitagongea kwa wife.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…