Ni bima ipi ya afya bora kukata? Tupeane uzoefu na ushauri

Yaani namaanisha unaipa sifa nyingi sababu either huijui vizuri au ni mtumishi wao unapiga promo
Tatizo sio promo, nazungumzia uhalisia. Strategis wapo vizuri nawapatikana hospital kubwa zote unazozifaham wanazotoa huruma bora, lakini huwezi kuikuta kwenye vihospitali vya hovyohovyo.

Lakini ubishi wangu na mkuu Error 404 nikuwa wamejumuisha gym baadhi ya vifurushi.
 
Attachments

  • IMG_20240504_163107_340~2.jpg
    IMG_20240504_163107_340~2.jpg
    283.2 KB · Views: 41
Tatizo sio promo, nazungumzia uhalisia. Strategis wapo vizuri nawapatikana hospital kubwa zote unazozifaham wanazotoa huruma bora, lakini huwezi kuikuta kwenye vihospitali vya hovyohovyo.

Lakini ubishi wangu na mkuu Error 404 nikuwa wamejumuisha gym baadhi ya vifurushi.
Mkuu unilipa bei gani kwa mwaka
 
Tatizo sio promo, nazungumzia uhalisia. Strategis wapo vizuri nawapatikana hospital kubwa zote unazozifaham wanazotoa huruma bora, lakini huwezi kuikuta kwenye vihospitali vya hovyohovyo.

Lakini ubishi wangu na mkuu Error 404 nikuwa wamejumuisha gym baadhi ya vifurushi.
Bima yoyote in mazuri na Changamoto zake , kiujumla hakuna bima zinazoruhusu check ups na hizo huduma za Gym kama sio physiotherapy

Angalia hii form ya strategy kwa chini ni huduma ambazo hawazilipii but kiujumla wanajitahidi .
DSC_0164.JPG
 
Bima yoyote in mazuri na Changamoto zake , kiujumla hakuna bima zinazoruhusu check ups na hizo huduma za Gym kama sio physiotherapy

Angalia hii form ya strategy kwa chini ni huduma ambazo hawazilipii but kiujumla wanajitahidi .View attachment 2980688
Sintoendelea Tena na hii mada, Kwa sababu ww unaleta theory zakwenye makaratasi Mimi nazungumza uhalisia. Wapigie uwaulize hivi nikifurushi Gani ambacho kinajumuisha huduma ya gym kwenye bima yenu, Kisha wakisema hakipo waulize, mbona baadhi ya wafanyakaz wa DEPOT ZA MAFUTA na MIGODINI wanafanya mazoezi kwa kutumia bima yenu, kwenye baadhi ya GYM za KIGAMOMBONI, Posta na Geita?. Then utuletee mrejesho.

Kua na siku njema.
 
Mimi nazifahamu hizo Bima zote na nipo Geita hospitali ambayo ina Gym na physiotherapy service,nna fahamu strengths na weaknesses ya hizo bima
 
Strategy ni Bima nzuri but hakuna bima isiyo na mapungufu
 
Nimewahi kutumia Assemble wakati ikiitwa AAR, nililazwa Bugando aisee ilikuwa burudani, bima ilikuwa inacover hadi misosi. Ulikuwa ni mwendo wa kuku na sato.
Mkuu ulikuwa unaumwa kweli au uliona isiende bure , burudani unaionaje na unaumwa 😆
 
Mbona mshikaji kaandika kwa uzuri kabisa ni nini mnabishana sasa? Yeye ni mtumiaji wa hiyo bima na amedai kuna kifurushi kinatoa hiyo huduma ya gym wewe na Error 404 mnabisha tu bila uthibitisho wowote ule. Mwisho kasema wapigieni wahusika mpate uhakika zaidi bado mnabisha, Watanganyika mna matatizo sana.
Mimi nazifahamu hizo Bima zote na nipo Geita hospitali ambayo ina Gym na physiotherapy service,nna fahamu strengths na weaknesses ya hizo bima
 
Mkuu mi naomba connection ya kazi huko mgodini.

Back
Top Bottom