KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 1,797
- 1,594
Sawa mkuu.Huyo kaongeza vitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu.Huyo kaongeza vitu
Tatizo sio promo, nazungumzia uhalisia. Strategis wapo vizuri nawapatikana hospital kubwa zote unazozifaham wanazotoa huruma bora, lakini huwezi kuikuta kwenye vihospitali vya hovyohovyo.Yaani namaanisha unaipa sifa nyingi sababu either huijui vizuri au ni mtumishi wao unapiga promo
Kweli mkuu ni muhimu sana. Ni vile Mungu anatulinda na magonjwa ila kikikukuta utaomba miungu yote.Bima ni muhimu sana
Mkuu unilipa bei gani kwa mwakaTatizo sio promo, nazungumzia uhalisia. Strategis wapo vizuri nawapatikana hospital kubwa zote unazozifaham wanazotoa huruma bora, lakini huwezi kuikuta kwenye vihospitali vya hovyohovyo.
Lakini ubishi wangu na mkuu Error 404 nikuwa wamejumuisha gym baadhi ya vifurushi.
Bima yoyote in mazuri na Changamoto zake , kiujumla hakuna bima zinazoruhusu check ups na hizo huduma za Gym kama sio physiotherapyTatizo sio promo, nazungumzia uhalisia. Strategis wapo vizuri nawapatikana hospital kubwa zote unazozifaham wanazotoa huruma bora, lakini huwezi kuikuta kwenye vihospitali vya hovyohovyo.
Lakini ubishi wangu na mkuu Error 404 nikuwa wamejumuisha gym baadhi ya vifurushi.
View attachment 2980698angalia namba zao hapo wakuelekeze
Sintoendelea Tena na hii mada, Kwa sababu ww unaleta theory zakwenye makaratasi Mimi nazungumza uhalisia. Wapigie uwaulize hivi nikifurushi Gani ambacho kinajumuisha huduma ya gym kwenye bima yenu, Kisha wakisema hakipo waulize, mbona baadhi ya wafanyakaz wa DEPOT ZA MAFUTA na MIGODINI wanafanya mazoezi kwa kutumia bima yenu, kwenye baadhi ya GYM za KIGAMOMBONI, Posta na Geita?. Then utuletee mrejesho.Bima yoyote in mazuri na Changamoto zake , kiujumla hakuna bima zinazoruhusu check ups na hizo huduma za Gym kama sio physiotherapy
Angalia hii form ya strategy kwa chini ni huduma ambazo hawazilipii but kiujumla wanajitahidi .View attachment 2980688
Acha ubishi kijanaTatizo sio promo, nazungumzia uhalisia. Strategis wapo vizuri nawapatikana hospital kubwa zote unazozifaham wanazotoa huruma bora, lakini huwezi kuikuta kwenye vihospitali vya hovyohovyo.
Lakini ubishi wangu na mkuu Error 404 nikuwa wamejumuisha gym baadhi ya vifurushi.
Kama unataka mkatia mzazi hasa aged mkatie bima ya NHIF kifurushi cha NAJARI kitampa uwezo wa kupata dawa zote na vipimo muhimu na baadhi ya upasuajiNajaribu kufuatilia sijapata option nziri toka kwa wadau bado!
Mimi nazifahamu hizo Bima zote na nipo Geita hospitali ambayo ina Gym na physiotherapy service,nna fahamu strengths na weaknesses ya hizo bimaSintoendelea Tena na hii mada, Kwa sababu ww unaleta theory zakwenye makaratasi Mimi nazungumza uhalisia. Wapigie uwaulize hivi nikifurushi Gani ambacho kinajumuisha huduma ya gym kwenye bima yenu, Kisha wakisema hakipo waulize, mbona baadhi ya wafanyakaz wa DEPOT ZA MAFUTA na MIGODINI wanafanya mazoezi kwa kutumia bima yenu, kwenye baadhi ya GYM za KIGAMOMBONI, Posta na Geita?. Then utuletee mrejesho.
Kua na siku njema.
Strategy ni Bima nzuri but hakuna bima isiyo na mapungufuSintoendelea Tena na hii mada, Kwa sababu ww unaleta theory zakwenye makaratasi Mimi nazungumza uhalisia. Wapigie uwaulize hivi nikifurushi Gani ambacho kinajumuisha huduma ya gym kwenye bima yenu, Kisha wakisema hakipo waulize, mbona baadhi ya wafanyakaz wa DEPOT ZA MAFUTA na MIGODINI wanafanya mazoezi kwa kutumia bima yenu, kwenye baadhi ya GYM za KIGAMOMBONI, Posta na Geita?. Then utuletee mrejesho.
Kua na siku njema.
Error 404 , kua na siku njema.Mimi nazifahamu hizo Bima zote na nipo Geita hospitali ambayo ina Gym na physiotherapy service,nna fahamu strengths na weaknesses ya hizo bima
Nadhani umeleweshwa umeelewa hahahaError 404 , kua na siku njema.
Mkuu ulikuwa unaumwa kweli au uliona isiende bure , burudani unaionaje na unaumwa 😆Nimewahi kutumia Assemble wakati ikiitwa AAR, nililazwa Bugando aisee ilikuwa burudani, bima ilikuwa inacover hadi misosi. Ulikuwa ni mwendo wa kuku na sato.
Mimi nazifahamu hizo Bima zote na nipo Geita hospitali ambayo ina Gym na physiotherapy service,nna fahamu strengths na weaknesses ya hizo bima
Sintoendelea Tena na hii mada, Kwa sababu ww unaleta theory zakwenye makaratasi Mimi nazungumza uhalisia. Wapigie uwaulize hivi nikifurushi Gani ambacho kinajumuisha huduma ya gym kwenye bima yenu, Kisha wakisema hakipo waulize, mbona baadhi ya wafanyakaz wa DEPOT ZA MAFUTA na MIGODINI wanafanya mazoezi kwa kutumia bima yenu, kwenye baadhi ya GYM za KIGAMOMBONI, Posta na Geita?. Then utuletee mrejesho.
Kua na siku njema.
Nilikuwa naumwa mguu mkuu, kwahiyo misosi ilikuwa inapanda vizuri tu😂😂Mkuu ulikuwa unaumwa kweli au uliona isiende bure , burudani unaionaje na unaumwa 😆