Ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?

Ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?

Mkuu Fanya kazi sana afrika Kuna makanisa na misikiti mingi lakina maskini china Kuna makanisa na misikiti michache lakin wako vizur

Dini zimetufanya tuwe watatii tu tusiulize maswali hata ya kawaida kisa utakufuru

Fanya kazi sana

Kufanya kazi kwa bidii sio njia ya kufanikiwa - kafara (sacrifice) is everything
 
Mkuu Fanya kazi sana afrika Kuna makanisa na misikiti mingi lakina maskini china Kuna makanisa na misikiti michache lakin wako vizur

Dini zimetufanya tuwe watatii tu tusiulize maswali hata ya kawaida kisa utakufuru

Fanya kazi sana
Wataalamu wanasema, ukitaka kumtawala mtu, mpe imani.
 
imani ni chakula cha kiroho ukitaka kuelewa zaidi kasome ata kidogo tu introduction ya spirtuality pschology unaweza kuelewa kitu
Nilichokuja kugundua wale watu wenye imani sana ndio ukutana na mauza uza, ila wale ambao hawajali, maisha yanaenda tu.
 
Back
Top Bottom